kitu cha iddi hicho

kitu cha iddi hicho

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
547288_3934477001714_1528073885_n.jpg
 
" Hiyo ndo Raha ya Maisha Kuleni na mnywe " Ona jamaa walivyo ivaa na kunawiri ...alafu sioni KIJIKO (no spoon) !! mmmh wote right arm!
 
...wala kisu hakuna, hii kitu ilichemshwa nzima mzima??:noidea:
Ukipenda kujua mapishi:- Huitwa "MANDI" hupikwa kwa joto la mvuke bila kutumia direct moto !!
Naamini kuianza kula hutoweza kusimama hatimaye utatafuna na vidole vyako !!
 
Mwaka wa shamsa

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Yakhe mboo mboo mbona twatiana kham atii, wengine mchana umepita wima...!hafu hatujui futari tutaenda kuhemea wapi japo tu makobe
 
Back
Top Bottom