donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Baba mambo yangu haya daaah
Lazima ushangae sababu haya mambo tarime hayapo kabisaaaaaaaNimebaki nashangaa
Wanakula mboga kwa mboga.Lazima ushangae sababu haya mambo tarime hayapo kabisaaaaaaa
Wewe sio mboga kwa mboga......mkuu hvi hata mchele wa biriani unaujua kweli??Wanakula mboga kwa mboga.
Unashangaa nini mkuuNimebaki nashangaa
Karibu mno mkuumkuu mbona kama ubwabwa wa carrot ,ila hiyo salad miye udenda hadharani!
Mambo yetu sote haya mkuu karibu sana!Baba mambo yangu haya daaah
Ahsante nduguKaribu mno mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe sio mboga kwa mboga......mkuu hvi hata mchele wa biriani unaujua kweli??
Kwa nini my dearWali wa juzi wa Jana na wa leo
Si unaona wali wa rangi tatu huoKwa nini my dear
Kitu pilau makinikia.Hatukaribishani hata??[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Lazima utakuwa MBUTA tuu wewe.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji38]Kitu pilau makinikia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahHiyo mboga tu chakula chenyewe wapi
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji8] [emoji8]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] If kuna vituko sana ukiwa mtu wa hasira humu akukufai.Lazima utakuwa MBUTA tuu wewe.