Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Toka zipunguzwe bei mmekua wasumbufu sana
😂😂😂😂😂😂 ni mwendo wa🔨🔨🔨🔨tu.🔨Safi......maana Hawa wanafikiria sisi wanywaji Tunasahau
Ova
Kuna anayekula kwakoFanyeni kazi. Ndio kwanza Jumanne hii.
Leo mrangi mpaka kuchele!Hii ngoma mpaka asubuhi
Ova
HahahahaLeo mrangi mpaka kuchele!
Mimi hapa nasubiria Jmosi kwa hamu.
Hivyo vidude nikipiga kitimoto yangu huwa mpaka nasahau idadi. Ila Muhudumu akitaka kuniibia nastuka.
Ndiyo maana napenda kuhudumiwa na ninaowafahamu. Hakuna kitu nachukia kama kunizidishia bill. Ni kama unaniona mjinga!
Waiter zungusha tena [emoji23][emoji23]Dah mpaka kinatoa jasho... Sio la kikwapa Lakini