Anzisha fasita jioni tuanze kutupia au nianzishe?Muhimu sana
Ova
Poa
Hizi ni picha zile zile au unarudia rudia vichupa?
Umekubali kuibiwa?. Kunywa hili likubwa mkuu.
Huto tudude tutam sana
Taali uzi uko hewani... Kwa sauti ya mgosi
Hapa kuibiwa no.Safi......
Bei naona elekezi hapo
Ova