Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Tutake radhi watu humu, wingine sio ni kitoweo safi hata nyama ya ng'ombe haitii mguu hapoKhaaaaaa! si bora nile mchicha tena chukuchuku kuliko kula hao wadudu!!!![]()
![]()
![]()
Khaaaaaa! si bora nile mchicha tena chukuchuku kuliko kula hao wadudu!!!![]()
![]()
![]()
Ndio maana Mi-Afrika tunakwisha kwa Ebola kwa kula visivyolika, hao ni reservoir wa virus mbalimbali, UROHO au DHIKI?Tutake radhi watu humu, wingine sio ni kitoweo safi hata nyama ya ng'ombe haitii mguu hapo
Khaaaaaa! si bora nile mchicha tena chukuchuku kuliko kula hao wadudu!!!![]()
![]()
![]()
Hata kwa pilipili mbuzi na ugali pia huwezi kula? Lol
Ha ha ha ha BAK unajua umewachukia kwasababu tangu unakua unajua Panya ni mharibifu,hafai kuliwa hata kidogo kumbe ni suala la kukaa na kutafakari kiduchu unafanya maamuzi sahihi.Leo jamii yetu ingekuwa inamchukia mbuzi na kuweka hadith kede kede nakwambia hata mlio wake mbuzi ungekuwa kero kwako kwasababu ya mapokeo na si vinginevyo.
Nina rafiki yangu muislamu anakitandika kiti moto sana na ana hoja za msingi sana moja wapo ni mapokeo ya dini na mazoea ya jamii alikotoka.Kuna siku nilikuwa nasafiri na hoyo jamaa nikamwambia ndugu yangu naomba nisikukwaze leo lazima nimtafune mdodo akanijibu hata yeye ndio akanieleza ni kwanini yeye anamtafuna mdudu wa taifa.Kifupi ukikutana na samaki mchanga usimfikirie yukoje anakula nini wewe mtafune tu maadam hana madhara mwilini huna haja ya kujitaabisha.
Naaahhhhhhhhhhh ! Hata wale vyura pia Naaaaaahhhhhhhh!!! mchicha ukiwekwa pilipili mbuzi tu mambo bam bam
Hahahaha na jongoo je
Tutake radhi watu humu, wingine sio ni kitoweo safi hata nyama ya ng'ombe haitii mguu hapo
Hahahahaha lol!!! weye leo umeamua kuwa mchokozi eeh!, weye utakula panya, chura, jongoo, konokono au nyungunyungu? Mie bora niwe vegetarian kuliko kugusa hao wadudu.
Wenzio tunaita samaki nchanga wewe unaita wadudu
Naaahhhhhhhhhhh ! Hata wale vyura pia Naaaaaahhhhhhhh!!! mchicha ukiwekwa pilipili mbuzi tu mambo bam bam