Kitongozeo

Nina
Hahahaaaa ICHANA si mimi asilani
Ninachokumbuka enzi hizo hakuna simu sasa unapita nyumbani kwa demu wako na kurusha jiwe linapiga bati ndo ishara hiyo basi siku moja nimepiga bati nikaenda mbele kuna mti kusubiri baada ya dakika 5 akatokea baba yake duh pozi likaisha ila kilichoniuma mzee akanambia baba uwe unakuja ndani moja kwa moja hiyo style yako utanitobolea bati zangu au utaniua kwa mshtuko.
 
Hahhaahaaaa
 
Mkuu kwenye huu uzi wako nimepata msamiati mpya.

Magangwe=Wababe
 
Hahhaahaaaa
Usicheke mshana tumetoka mbali hawa dotcom hawajakutana na visanga hivyo yaani vidate kama hakimu na mtuhumiwa mpaka uje uone ndani si mchezo na kila kibwagizo chetu dada salama au macho yangu?unajibiwa salama kisha unaendelea tutakula au fitna?ndege itatua au uwanja una maji?ukijibiwa itatua hapo mambo bambam.
 
Yeah ilikuwa tamu sana ndege itatua au uwanja una maji?
 
Yeah ilikuwa tamu sana ndege itatua au uwanja una maji?
Yaah style kama chagua bega sangi,mande na mtungo aah havikuwa vitu vya kujivunia kwa sasa ila ndio mambo ya enzi hizo huwezi kuondoka na demu mkali disco au mtaani kama sio gangwe au una washkaji wababe.
 
Hahahaha makubwa haya,kwa hyo wakisimuliana tu na mwenzake anaenda kujionea
 
Hahaah, umesahau na wale wanaoacha vifua wazi, kama wale Dada zetu wanaoacha nyonyo zao nje
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha makubwa haya,kwa hyo wakisimuliana tu na mwenzake anaenda kujionea
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe Mzee wa vinyama vya makalioni unaingia kwa gia hiyo! Mrembo hakawii kuomba umchungulie makalio yake kama ana kinyama na kama anacho basi upamtie "tiba" husika. Hahahahahahahaha lol!

Na wewe Mzee wa vinyama vya makalioni unaingia kwa gia hiyo! Mrembo hakawii kuomba umchungulie makalio yake kama ana kinyama na kama anacho basi upamtie "tiba" husika. Hahahahahahahaha lol!
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…