Ulete mrejesho..Hili suala hadi nichepuke kwanza ndo nitakuja kujibu
Kuna kautafiti nimefanya nikagundua kwenye mahusiano kuna mambo mengi ikiwemo kuchepuka. Cha kushangaza wanawake wengi pindi wafumaniapo waume zao utamwona anakurupuka na kumvagaa mke/binti anaye kutwa naye.
Hii ni tofauti kwa wanaume akifumania mkewe mara nyingi anatoa adhabu kwa mkewe si kwa aliye mfumania.
Je hii ni sawa na kusema adui wa mwanamke ni mwanamke?
Au naombeni ufafanuzi kiroho safi.
Ni kwa sababu wanawake wengi hawawezi kumpiga mwanaume
Ulete mrejesho..
Mhhh Best atarudia tena huyoSion umuhimu wa kupiga chepuko....
Hujui alichomwambia au kumdanganya huenda alimwambia Sina mume/ mke
Beba mumeo/ mkeo baada ya kumfumania nenden nyumban
Mhhh Best atarudia tena huyo
Kama hakujua sawa lakini ambaye hakujua utamuona tu maana mwenyewe hatokuwa na raha na huyo mwanaume, mtamchangia wote huyo mwanaume. Ila kuna michepuko mingine haina ustaarabu. Si umenyamaza ukasema mkamalizane na mumeo, yeye anaona umemuogopa. Basi simu mpaka usiku anapiga hana wasiwasi. Kimada kinatawala kama ndo mke. Saa nyingine inabidi kukitishia kijue kama bwai na iwe bwai bwana, some things are off limit. Ukimwachia sana itakula kwako kumbuka mume yeye anapenda kula kote kote so hawezi kumkoromea kivile. Aibe sawa, lakini ndo ajue yeye ni mwizi na akikutwa lazima asepe kabla haijawa nomaSion umuhimu wa kupiga chepuko....
Hujui alichomwambia au kumdanganya huenda alimwambia Sina mume/ mke
Beba mumeo/ mkeo baada ya kumfumania nenden nyumban
Hahahahaha daaaa Jf raha tupu.kuna ka software ka kufanyia tafiti kama hizi ngoja nimalize ku-install nitarejea