TAngu nguruwe atokeee duniani kuna miaka Bilion ngapi? Je hawo nguruwe hawaliwi? Wanaokula je wamepatwa na nini?Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe ni mchafu kwenu; nyama yake msiile, wala msiguse maiti yake; mtakuwa mchafu nayo."
Mambo ya Kumbukumbu 14:8
"Nguruwe, ingawa ana maguzo, hayala; ni mchafu kwenu. Msimle nyama yake wala msimgoze."
Isaya 65:4
"Ambao hufuata njia za Bwana, wala hawalitambui mahali pa Mungu wao, wakalala juu ya ngozi za nguruwe, wakachukua kwa mikono yao vionjo vya wanyama wasio safi."
Isaiah 66:17
"Wao watakufa, kwa moto watakufa, watu wa mnyama na waliotumikia nguruwe, wale wanaojidai kuwa watakasifu, na waliopenda matusi."
Mbona huwa hawaendi kazini wala kujenga nyumba zao wenyewe?unamkula binadamu mwenzio wewe unamuona ni nguruwe kumbe ni binadamu
Hili swali lako halieleweki jaribu kuweka kuuliza maswali kulingana na muktadha acha kukurupukaTAngu nguruwe atokeee duniani kuna miaka Bilion ngapi? Je hawo nguruwe hawaliwi? Wanaokula je wamepatwa na nini?
Agano walilopewa akinà nani ?Agano la kale linasemaje
Ongeza kidogoniongezee sautii ama
Astaghifilulah!Umenitengua udhu mkuu!Umejivunia dhambi kubwa sana.Hebu nionje kipande kimoja nione TBS ipo kwa kiwango gani!
WanawaisraelAgano walilopewa akinà nani ?
Vipio vingi sura mbaya lakini vitamuuuKama pussie tu, machoni hazivutii ila ni tamu balaa.
😂 Lkn mtamu sijui kwanini vitu vyenye sura mbaya ndio vinaongoza kupendwa mfano KOna alivyo mbaya🤣
Najisi kitokachoo sio kiangachooMambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe ni mchafu kwenu; nyama yake msiile, wala msiguse maiti yake; mtakuwa mchafu nayo."
Mambo ya Kumbukumbu 14:8
"Nguruwe, ingawa ana maguzo, hayala; ni mchafu kwenu. Msimle nyama yake wala msimgoze."
Isaya 65:4
"Ambao hufuata njia za Bwana, wala hawalitambui mahali pa Mungu wao, wakalala juu ya ngozi za nguruwe, wakachukua kwa mikono yao vionjo vya wanyama wasio safi."
Isaiah 66:17
"Wao watakufa, kwa moto watakufa, watu wa mnyama na waliotumikia nguruwe, wale wanaojidai kuwa watakasifu, na waliopenda matusi."
Pasco kazeeka vibaya?jambo zuri kuwaelekeza hawa wafanye ufagaji sio kushinda JF kusifu kitimoto kinachoshindana na upinzania nyie Tlaatlaah chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable October 2pm .Nawakumbusha kuna maisha mkishazeeka mnataka muwe pasco mayalla
Hayo maneno ya nani tafadhari uwe unaquote na Aya piaNajisi kitokachoo sio kiangachoo
eeeeh utajua hujuiMbona huwa hawaendi kazini wala kujenga nyumba zao wenyewe?