Kitimoto alipothubutu kukimbia kufanywa asusa

Kitimoto alipothubutu kukimbia kufanywa asusa

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,453
Reaction score
8,439
Huenda alihisi kuwa anakwenda kufanywa kitoweo; akaamua kuthubutu kuruka
kutoka ndani ya gari


Kiti moto.jpgndani ya gari
 
Umeshatafuta kesi na watu humu! Wengine watakutukana live, wengine kimyakimya!
 
Ole wake akosee aingie msikitini.... atatamani arudi kwenye gari...!
cc FF.
 
Aisee mpaka mate yamenitoka,inabidi baade nikapige ya kuchoma sarafina bar pande za kaloleni
 
Mitaa kama ya Zenji siku hizi ruksa au utandawazi?:llama:
 
Aisee mpaka mate yamenitoka,inabidi baade nikapige ya kuchoma sarafina bar pande za kaloleni

kuna sehemu inaitwa hunters Arusha ukila hapo siku moja utahamia milele
 
natarajia kuwa zenji kwa miez miwili kuanzia mwezi wa pili katikati hii kitu kwa hapo inapatikana wapi? cc kikwajuni1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom