One day one time
Senior Member
- Dec 29, 2011
- 122
- 168
Kapona? Au bado wenye data?
ni padri, katibu wa TECNdio nan huko daslamu?
Kama ni padri huwenda yupo bize na mambo ya kanisa ,roma ipo na mambo mengi sana bwasheeni padri, katibu wa TEC
Yeye nani wakutuamulia wishes zetuMchungaji Dr. Eliona Kimaro amesema tusiwe tuna comment kwenye mitandao
Na wewe ni wa ule uzi wa usiku utakua unajua vizuri😅😅Wachawi bwana., Usiku kucha wanatuwangia then Asubuhi wanakuja kutusalimia. Pathetic
🤣🤣🤣 Mimi wananikutaga nipo live wanasalimu na kusepaNa wewe ni wa ule uzi wa usiku utakua unajua vizuri😅😅
Mimi kule nasoma nakupita mda mwingi unakuta nipo kazini🤣🤣🤣 Mimi wananikutaga nipo live wanasalimu na kusepa
Na sisi pale ndio tupo kazini, 🤣 Inabidi Utushukuru unafanya kazi kwa amani Leloo.Mimi kule nasoma nakupita mda mwingi unakuta nipo kazini
Wewe mtoto wa kikurya mtundu sana ujueNa sisi pale ndio tupo kazini, 🤣 Inabidi Utushukuru unafanya kazi kwa amani Leloo.
Leloo wakuniita Mimi mtoto? 🥹🥹 We toto kabisa umeanza hapo Udom na kumaliza nakuonaWewe mtoto wa kikurya mtundu sana ujue
Nakumbuka ulisema umri wako humu ujue😅😅Leloo wakuniita Mimi mtoto? 🥹🥹 We toto kabisa umeanza hapo Udom na kumaliza nakuona
Kumbuka vizuri ulikua umelewa unaongea na nani? Hakua Mimi huyoNakumbuka ulisema umri wako humu ujue😅😅
Yeah labda nilisema nimemaliza masters yanguKumbuka vizuri ulikua umelewa unaongea na nani? Hakua Mimi huyo