Shida adabu yako.Kikwete amewaingiza chaka wote wakina Kitilya , Mattaka na wengine wengi wakati yeye muhusika mkuu anakula BATA huko Msoga!!!
Naona unawashwa washwa sana mkuu,au Kazi yako ni kupara-miwa?Dar Man
Kazi yangu ni mzibua mitaroNaona unawashwa washwa sana mkuu,au Kazi yako ni kupara-miwa?
Kwahiyo unataka uzibuliwe naww hapo kwako eeeh?Kazi yangu ni mzibua mitaro
Magufuli ni jembe anataka kuset presidency kwamba bila kujali wewe ni nani au ulikua nani unaweza banwa na sheria, that is very good kwa nchi inapunguza gap la wasiogusika na maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja kukuzibua jina lako kikwetu maana yake dem \Kwahiyo unataka uzibuliwe naww hapo kwako eeeh?
Ndo maana kwenu mapunga wengi sanaNakuja kukuzibua jina lako kikwetu maana yake dem \
Shida adabu yako.
Kikwete ndiye Rais pekee aliyefunga mawaziri kwa ufisadi ndiye Rais pekee aliyemtosa waziri mkuu kwa ufisadi. Na ndiye Mwenyekiti aliyeacha roadmap (ilani) inayofatwa sasa hivi.
Koma
Kasome uzi wao upo humu na michango yangu utakuta.Nilijua utatoka shimoni kwako tu uje umtetee mfadhili wako!! Mbona husemi ufisadi wa HOME SHOPPING CENTRE na jinsi alivyofadhili hawa jamaa kupitisha makontena bandarini bila kulipa kodi; jinsi alivyowalinda wauza madawa ya kulevya mpaka ameingia Magufuli ndio wakapelekwa Marekani; Unajua yeye ndiye aliyemlazimisha Mattaka kuingia mkataba wa kukodisha ile ndege ya AIRBUS kutoka kwa mlebanoni iliyolimbikiza deni la mabilioni kwa serikali!! Halafu unasema alikuwa anapiga vita ufisadi? Unajua gharama ya Barabara ya Bagamoyo mpaka Msata umegharimu kiasi gani na mjenzi akiwa swahiba wake Subash Patel?
Unajua kısa cha yeye kusabotage kukamilika kwa radium ya katibi ya Warioba? Aliogopa kama ile rasimu ingepitswa na katibi kukbaliwa yeye çivi leo yangempata yaliyompata Jacob Zuma kule South Afrika!!!
Sasa wewe ndio ukome ukomae.
Mkataba wakati wa Mkapa ule usiyeelewa mambo.Kasome uzi wao upo humu na michango yangu utakuta.
Huwa sikisii.
Kasome uzi wao upo humu na michango yangu utakuta.
Huwa sikisii.
Huna ulijualo wewe, kaa udandie dandie tu humu.Nina uhakika na ninachokiandika hivyo sina haja ya kurejea michango yako.
Mkataba wakati wa Mkapa ule usiyeelewa mambo.
Huna ulijualo wewe, kwa udandie dandie tu humu.
Porojo hizo.Mkataba ule ulikuwa wakati wa Kikwete na mwanzilishi alikuwa Mchina wa SONANGOL aliyekuwa anakuja na kwenda moja kwa moja Ikulu kuonana na mkwere!
Magufuli ni jembe anataka kuset presidency kwamba bila kujali wewe ni nani au ulikua nani unaweza banwa na sheria, that is very good kwa nchi inapunguza gap la wasiogusika na maskini
Precedence gani kesi inatakiwa iishe siku 90, huu ni uonevu tuu, justice deleyed is justice deniedMagufuli ni jembe anataka kuset presidency kwamba bila kujali wewe ni nani au ulikua nani unaweza banwa na sheria, that is very good kwa nchi inapunguza gap la wasiogusika na maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
100% true, wakilipa ransom money wanatokaHakuna aliyehukumiwa kifungo awamu ya Magufuli.
Hizi ni hujuma kwa haki za raia kufunga watu bila kesi.
Hakuna “ujembe” wowote hapo bali uonevu na hujuma.
100% true, wakilipa ransom money wanatoka