Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
My elder sister you are right. Lowassa alitoswa akabaki ameduwaa, Mkapa akabakia na Sumaye mpaka mwisho wa dahari.Shida adabu yako.
Kikwete ndiye Rais pekee aliyefunga mawaziri kwa ufisadi ndiye Rais pekee aliyemtosa waziri mkuu kwa ufisadi. Na ndiye Mwenyekiti aliyeacha roadmap (ilani) inayofatwa sasa hivi.
Koma.
Mkapa ndio alimpa kiburi Sumaye akajiona ni presidential material wakati kiuwezo na kiakili hafiki hata robo ya Lowassa.