Kitila Mkumbo kaa ‘Standby’

Mbona nasikia ni Kalamaganda kabugi Macho Kodo.?
 
Viungani Sweden = Olmatejoo kata ya Engarenarok...
 
Huyo ni waziri anayetegemewa sana na samia hawezi kupewa umakamu
 
We umbwaa ogesha hao wazee kabla baridi haijakuwa kali jioni hii.

Mbusiiii
 
Nchi ya balance hii.....jua Makamu atakuwa Mkristo wa Dhehebu lolote, possibly sio Katoliki sababu ya msimamo mkali wa Katoliki, pia hawezi toka mkoa mmoja na waziri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…