Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Somebody needs to put that fool in his place....i.e. give him a serious beatdown
Naona tunakoelekea sio kuzuri....mwanzoni tu jamaa analeta vituko...Je yakitokea mambo makubwa zaidi......kama "military decision"......!!!!???!!!
rule ni mzunguko hakuna geni
mbona idi amini dada alisha chair OAU
Hiki kitu kinachoitwa "United states of Africa" ni ndoto za mchana mweupee, Nina uhakika nchi kama marekani na Ulaya hawawezi kukubali kitu kama hiki kitokee kwani ni hatari sana kwa maslahi yao. Hapo kinachoendelea ni kusign per diem tu.
Viongozi wetu wa Africa ni wabinafsi sana na hawawezi kuhatarisha hatma ya kupata misaada kwa kuridhia kuwa na kitu kama hiki. Hapo ninajua kuwa kuna kazi kubwa sana inafanywa na lobbyist wa west kuhakikisha hii kitu haifanikiwi na wengine humohumo kikaoni wapo kwenye payroll ya Western organs kuhakikisha this never happen. Hapa ni divide and rule tu Africa ikiwa nchi moja ni hatua kubwa sana dhidi ya ukombozi kwa waafrika ila ukombozi huwa bado ni ndoto.
Qadaffi inawezekana amepata hasira kwa sababu anajua kuwa kuna vibaraka wa west humo kwenye mkutano ambao lwngo lao ni kuvuruga tu. Hii hoja ya kuanzisha AU ilitolewa na Qadaffi na ikapitishwa na yeye akawa mwenyekiti wa kwanza wa AU, sasa sioni kibaya cha kujutia kumpa tena nafasi. Huyu jamaa ana malengo mazuri sana bara letu kwani anajua mengi ukilinganisha na hao wanaompinga. Ila anatakiwa awe diplomatic tu maana tuna maadui wengi sana wasioutakiwa mema umoja huu.