Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,670
- 6,455
- Thread starter
- #21
Jamaa namkubali kinoma yaaaniDuh naona unampigia debe
Ova
Jamaa namkubali kinoma yaaaniDuh naona unampigia debe
Ova
Inshallah hii dua imefika panapostahiliKuna siku hapa tutaona thread ya Paschal Mayala aula, then tubaki tunakodoa macho tu.
Ili umuelewe inabidi akili yako itulie kweli kweli hata Mimi haikua rahisi ila sasa siupiti ninapoona uzi wakeingekua kumchagua ningemchagua...ila huwaga simuelewi anasimamia nini,huku yupo..kule yupo
Kama hujui mwaka 90 akishakuwa mtangazaji maarufu usimchukulie poa ni mkubwa sana huyo angekuwa serikalini angeshastaafu🤣🤣🤣 we jamaa unachuki binafsi
Mbona ashakua mfano?? Ama we unamfahamu baada ya kuitwa njaa??N vzur akaendelea kujiajiri ili kuunga mkono sera za wakulu
Kwani lazima ateuliwe ndio apate shavu?Asalaaam,
Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.
Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.
Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.
Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.
Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.
Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.
Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.
Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Ndo nani huyo??Mama Samia Mkumbuke na Kidukulilo.
Sijazungumzia shavu nimezungumzia jinsi atakavyo leta tija kwa taifaKwani lazima ateuliwe ndio apate shavu?
Sasa mbona mkuchika yupo hadi leo?Kama hujui mwaka 90 akishakuwa mtangazaji maarufu usimchukulie poa ni mkubwa sana huyo angekuwa serikalini angeshastaafu
Alete tija mara ngapi?Sijazungumzia shavu nimezungumzia jinsi atakavyo leta tija kwa taifa
Hata kigogo hajui we ujuaje???kwenye mkeka huu mpya ulio sukwa jina la Pascal Mayalla lipo 10001%
Mara zote mzeeAlete tija mara ngapi?
Mkuchika ni mwana kitengo tangu zamani hajawahi toka serikalini,kosa la pasco ni kuacha kazi Jwtz na kuacha kazi Tbccm other wise angekuwa mbali kichwani yupo vizuriSasa mbona mkuchika yupo hadi leo?
Yeye anasema alipata kura mbili, lakini kiuhalisia sisi wajumbe tuliokuwepo pale ukumbini tuliona matokeo yote, Pasco hakupata kura hata moja.
Umri umemtupa ni kibabu hicho sema ana baby face