Kitengo cha Big Results Now(BRN) kilileta mabadiliko gani?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,618
2,000
Kitengo hiki kilianzshwa enzi za awamu ya nne chini ya ofisi ya Rais na jukumu lake kuu lilikuwa ni UFUATILIAJI wa miradi ili itekekelezwe kwa ubora wa hali ya juu sana. Nauliza, tangu kitengo hiki kianzishwe matokeo gani makubwa yameonekana licha ya miradi mingi kutokamilika na zaidi kutekelezwa kwa kiwango cha chini. Nampongeza sana Mhe.Rais kuvunja kitengo hiki. Kweli Mhe.Rais umeona mbali.
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,607
2,000
Mimi nilisikia tu BRN kwenye elimu kipindi kile tena wadau walilalamika mbaya...
 

kiduni

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
239
250
JK alijitahidi sana kupiga pande kwa watu wake wakaribu ndo maana alikua kila siku anajaribu kuunda taasisi au idara ilimradi watu wake wawepo hakua mchoyo kwa anaowafahamu na ndo walomuangusha kwa kiasi kikubwa
 

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,878
2,000
JK alijitahidi sana kupiga pande kwa watu wake wakaribu ndo maana alikua kila siku anajaribu kuunda taasisi au idara ilimradi watu wake wawepo hakua mchoyo kwa anaowafahamu na ndo walomuangusha kwa kiasi kikubwa

Kila shetani na mbuyu wake, hata wasasa kuna watu wanaishi kama malaika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom