Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,211
Reaction score
99,963
Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista.

Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
 
Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista. Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa GODBLESS Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!

Nilishikwa na bumbuwazi niliposikia hii kauli!! Wengi wa viongozi wa CCM hawajitambui na hawajui nini cha kufanya!!

Kwa mtu anaejielewa huwezi sema unafanya vitu kwa surprise!! Hii serikali inaishi kwa matukio sioni dira yoyote!!
 
Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista. Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa GODBLESS Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
Mkuu kuna kitu kimekupita kidogo. Na nadhani sio oeke yako Bali wengi tuu.
Wageni waliokuwa wamekaa pale juu wana impact kubwa na mabadiliko uliyoona leo bungeni kwa wabunge wa ccm.
Mpwa Elli, moyo ni kitu cha ajabu sana. Hujawahi kuona umpendaye hata kama ni kwa siri tabasamu linaweza kukuumbua?
Ukweli ni kuwa wabunge wengi wa ccm wanamoenda sana Lowassa kuliko Magufuli ila wanalinda tumbo tuu.
 
Kumbe!kuanzia leo,nitaanza kuangalia reactions za nyuso za wabunge wa c.c.m,kila litajwapo jina Lowasa!
 
Ndio ukweli! Wengi wanadhani kutajwatajwa kwa Lowassa ni kwa vile wanamchukia la hasha ni mapenzi waliyonayo kwake ambayo hayafutiki moyoni.
Hata wewe ukiwa na mtu akupendaye na ukamuacha, kila akuonapo moyo unampiga paa! Na anaweza kukujadili umevaaje, unatembeaje siku hizi nk. Anaweza kujibaraguza kukukandia lakini moyoni anatamani umrudie.
Chunguza hata hapa JF, nani wanamtaja na kumjadili sana Lowassa kama sio Ccm?
 
Jamaa anaweza kutafutiwa sababu asiingie tena mjengoni kama mgeni.
 
Tuzidi kuiombea serikali yetu na Kiongozi wetu ayashinde majaribu,......shetani huja kwa njia nyingi sana haswa pale Kiongozi anapokosa maarifa na kushindwa kujua watu ninaoongea nao wanataka kusikia nini toka kwangu kama Kiongozi.Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom