KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.