Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ntaweka picha mkuu.tupe ushahidi kuwa kaingia kwenye kikao
Shughulikia kwanza rushwa inayotembea kwenye chaguzi za UVCCM ya Chadema huyawezi.Igwe wanaJF!
Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.
Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.
Picha zinakujia muda mfupi.
jielekeze kwenye madaShughulikia kwanza rushwa inayotembea kwenye chaguzi za UVCCM ya Chadema huyawezi.
Inakuuma nini wewe mwanaccm !!??Igwe wanaJF!
Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.
Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.
Picha zinakujia muda mfupi.
Hivi kina Katambi, Kafulila, Msando nao walikuwa wajumbe wa NEC ya Ccm?Ccm wanafuatilia KK ya chadema kwa interest gani?
Mbona ya ccm waliingia hadi wakina Masha? Umeona hivyo tu au!!Igwe wanaJF!