Tumefanya siasa kuwa ndio ajira inayolipa na ndio maana tunaona Maprofessor , Doctors , Engineers na wataalam wengi wanaacha taaluma zao ambazo zingesaidia kuendeleza nchi na kukimbilia kwenye siasa. Yote hii ni kwasababu sera zetu zinawatukuza wanasiasa na kuwapa malupulupu mengi tofauti na watalaam wetu.Wakati umefika tuache kufanya nafasi za uongozi wa kisiasa kama ajira za kujipatia utajiri na badala yake ziwe nafasi za kujitolea. Hii ifanyike kwa vyama vyote vya siasa tuwe na viongozi wanaokerwa na maisha duni ya watu na siyo wanaotaka kujineemesha kiuchumi. Hivi sasa tumefika mahali ambapo vijana wote wanataka kuwa viongozi wa kisiasa na siyo wavuja jasho!
Duuh! Hii kali kuliko!Taifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye TV ya Taifa haliwezi kuwa na dira wala kujitambua.
View attachment 2080130
Mama amesema wale lakini wasivimbiwe, wajipimie! Sasa mtu ataacha kukimbilia huko?Tumefanya siasa kuwa ndio ajira inayolipa na ndio maana tunaona Maprofessor , Doctors , Engineers na wataalam wengi wanaacha taaluma zao ambazo zingesaidia kuendeleza nchi na kukimbilia kwenye siasa. Yote hii ni kwasababu sera zetu zinawatukuza wanasiasa na kuwapa malupulupu mengi tofauti na watalaam wetu.
Kama renumeration ya wataam wetu ingekuwa ya kuridhisha yaani tungekuwa tunawalipa mishahara ya mizuri sidhani kama wangekuwa wanakimbilia mjengoni kuitikia NDIOOOOOOOOOOO!!!
Huko kwenye siasa hawatumii akili zao vilivyo na mara nyingine wanakuwa zombies; kufuata maelekezo bila tafakuli za kina!
Kasoro wewe tu mtoa post...watz kama tuliweka alarm kuwa spika aking'oa mguu tu watu tunaziba nafasi hivi nami naenda kuchukua fomu maana sio kwa jua hii la utosi mtaani.Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari.
Viongozi huandaliwa, hufunzwa na kulelewa. Haiwezekani mtu anakurupuka usingizini akiwa na matongotongo machoni anachukuwa fomu ya kuwania uspika! Hii ni hatari kubwa kwa mustakabali wa Taifa kwani tutakuja kupata viongozi wehu ilimradi tu kwa ushabiki wa kipumbavu wakapata kura za kutosha.
Aidha tamaa ya watu wengi kupata manufaa ya kiuchumi na kuondokana na umaskini uliotopea ndiyo kishawishi kikubwa kuwania nafasi za uongozi katika siasa. Wakati umefika tufanye jitihada za kuondokana na umaskini huu ili watu wengi wajikite katika shughuli za kuzalisha mali na kuinua uchumi vinginevyo Taifa litaangamia na kuishia kugombana sisi kwa sisi.
Wakati umefika tuache kufanya nafasi za uongozi wa kisiasa kama ajira za kujipatia utajiri na badala yake ziwe nafasi za kujitolea. Hii ifanyike kwa vyama vyote vya siasa tuwe na viongozi wanaokerwa na maisha duni ya watu na siyo wanaotaka kujineemesha kiuchumi. Hivi sasa tumefika mahali ambapo vijana wote wanataka kuwa viongozi wa kisiasa na siyo wavuja jasho!
TUJISAHIHISHE!
DuTaifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye TV ya Taifa haliwezi kuwa na dira wala kujitambua.
View attachment 2080130
Kila la kheri! Mmeambiwa mle msivimbiwe!Kasoro wewe tu mtoa post...watz kama tuliweka alarm kuwa spika aking'oa mguu tu watu tunaziba nafasi hivi nami naenda kuchukua fomu maana sio kwa jua hii la utosi mtaani.
Naunga mkono hoja.Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari.
Viongozi huandaliwa, hufunzwa na kulelewa. Haiwezekani mtu anakurupuka usingizini akiwa na matongotongo machoni anachukuwa fomu ya kuwania uspika! Hii ni hatari kubwa kwa mustakabali wa Taifa kwani tutakuja kupata viongozi wehu ilimradi tu kwa ushabiki wa kipumbavu wakapata kura za kutosha.
Aidha tamaa ya watu wengi kupata manufaa ya kiuchumi na kuondokana na umaskini uliotopea ndiyo kishawishi kikubwa kuwania nafasi za uongozi katika siasa. Wakati umefika tufanye jitihada za kuondokana na umaskini huu ili watu wengi wajikite katika shughuli za kuzalisha mali na kuinua uchumi vinginevyo Taifa litaangamia na kuishia kugombana sisi kwa sisi.
Wakati umefika tuache kufanya nafasi za uongozi wa kisiasa kama ajira za kujipatia utajiri na badala yake ziwe nafasi za kujitolea. Hii ifanyike kwa vyama vyote vya siasa tuwe na viongozi wanaokerwa na maisha duni ya watu na siyo wanaotaka kujineemesha kiuchumi. Hivi sasa tumefika mahali ambapo vijana wote wanataka kuwa viongozi wa kisiasa na siyo wavuja jasho!
TUJISAHIHISHE!
Raisi yupi huyoTaifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye Serikali yake tena kupitia TV ya Taifa haliwezi kuwa na dira wala kujitambua.
View attachment 2080130
Unataka amtaje ili wasiojulikana walale naye mbele?Raisi yupi huyo
Skuiz hawapo sijui walienda likizoUnataka amtaje ili wasiojulikana walale naye mbele?
Njia sahihi ni kuweka vigezo sahihi vya kila nafasi na siyo kujua na kusoma kiswahili tu!Sasa ulitaka w achukue fomu wangapi, au ulitaka mchakato wakumtafuta speaker uwaje, Maan umeongea tu maneno matupu mbona ww hujaonesha kuwa njia sahihi iweje