Kitendo alichofanya Huyu Traffic, ameifanya siku yangu iwe hivi...

Kama una udhibitisho wa huyo askari traffic umempa tshs 200,000 kama njia ya kumuonea huruma au asante tu kwa lugha yake ya kuomba hela kidogo ya chai, ni PM, nipe ushahidi, nakurudishia tshs 250,000 leo leo. Ushahidi usio na shaka na ningependa kuongea na askari aliyepokea hela kuhakikisha hilo, ningependa iwe leo leo, niwaone wote wawili, offer hii ni ya leo, mwisho saa 12 jioni. Ni PM
Ha ha ha ha haaah, mkuu acha kucomplecate maisha, kama una muda hebu kutana na mdau hapo White Sands mle maisha
 
unaamka asubuhi unawasha gari lako kama ni Range, BMW, Benz, Ford, Audi au Jeep... ambalo jana ulipeleka service wakakagua kila kitu ukamwaga oil na kufanya service nzuri kwa garage za ukweli ambazo unawaachia gari na funguo unaondoka wanakupigia simu au wanakuletea ulipo na INVOICE. unalipa maisha yanaendelea.

so leo ndo umeamka asubuhi gari jana hiyo hiyo uliwaambia wakujazie mafuta TOTAL au PUMA. kwa hiyo ipo full tank. leo unaamka tu unakunywa soup na chapati nne unakunywa na VITAL MALT baridi unawasha gari yako safi kabisa maana walishaosha huko huko.

umejipulizia perfume nzuri ya bei ya kawaid tu 400,000 -700,000 umevaa kawaida una pens, na raba simple chini, mkononi una saa ya silver na umevaa tshirt nyepesi. gari yako haidawi kitu yaani hata aje kukagua nani hakukuti na kosa. unachuku pesa kiasi unaweka kwenye wallet tsh 350,000 ili angalau zitoshe kwenye wallet halafu nyingine 650,000 unaziweka kwenye gari kwenye ule mkebe wa siri garini. hasa kama unatumia Benz SUV nadhani kwa wenye kutumia hizi gari watakuwa wameuelewa ulipo.huu hata waosha magari huwa hawajui kama upo.

unaingia barabarani.... huna wasiwasi.. unaon tu wenye gari za toyota hasa vits,ist,passo and the like wanavyokukwepa wakioga kuligusa gari lako. wenye daladala wanasimama na kupita kwa mbali sana na hawataki kabisa kukuchomekea. unajua sometime hata haya magari mnayoendesha yanavutia fujo za wanapendesha dala dala...? uwe na BMW, BENZ,JEEP, FORD and the like then uone kama utachomekewa na wenye daladala au boda boda. mimi nina ushahidi sijawahi chomekewa hata siku moja.

iwe naendesha Range mojawapo katika zile mbili, iwe naendesha Ford Ranger, iwe naendesha Hii Benz SUV au iwe naendesha VW Tourage. sijawahi chomekewa hata siku moja. na huwa naendesha kwa nidhamu nikifuata sheria zoote barabarani.

sasa katika hali hiyo traffic ananisimamish mimi niwe na waswas wa nini? kawaida yangu huwa wakinisamisha nasimama natulia namsubiri aje hata mlango sifungui. akija nashusha kioo kidogo tu huku natizama mbele namsikiliza. akitaka leseni nampa anaangalia anarudisha mara nyingi huwa wanajikuta hawana cha kusema wananambia tu 'habari za kazi boss' jibu langu huwa fupi sana 'nzuri'

basi unamwona tu traffic hana la kusema anauma uma maneno then ananambia haya nenda.

HILI LA LEO NDO SABABU YA KUANDIKA HAYA.

nimeamka kama hivyo nlivyoelezea huko juu. nimefika mitaa ya hapa Fire askari akanipiga mkono. sikufanya hiyana mtu hakatai wito. anakataa aliloitiwa. nikasimama pembeni kama nilivyotakiwa. akaja askari (wa kiume) moja kwa moja akaja dirishani nikashusha kioo kidogo akanisalimia 'habari boss' nikamjibu tu 'nzuri'

akanambia samahani .. kijana mwenzio nipo vibaya ingawa ni mwisho wa mwezi lakini pesa yoote imeshia kulipa madeni na majukumu mengine naomba unisaidia chochote ndugu yangu nikapate hata soup'

niseme wazi sijawah mwonea huruma trafiki kama ambavyo leo imenitokea. nilitoa mkanda nikatoa wallet nikahesabu tshe 200,000 nikampatia. jamaa hakuamini. alitamani kabisa anikumbatie. nlikataa na nikamwambia asitie shaka ile si rushwa so hamna haja ya kuficha ficha maana alikuwa anaogopa. nikamwachia biznez card yangu. akanitajia namba yake.... nimeagana naye kiurafiki kabisa.

jamaa aliomba pesa direct... hakunikagua kagua kunitafutia makosa... hakunipiga beat aliomba kiume. nami nlijisikia heshima kumpatai. hivyo ndivyo siku njema inavyonza unaanza kwa kutengeneza marafiki. kwa kusaidia wenye shida. kwa kuona unaheshimiwa.

siku kama hii mara nyingi huisha vizuri sana.... natoka ofisini saa saba kamili naelekea white sands kama kuna mwana jamii forums atakuwa huko naomba tuwasiliane ningependa tuonane na kufahamiana. maana sometime watu huwa wanatamani tufahamiane. ni jambo jema sema inategemeana na mtu mwenyewe yukoje. kama upo huko tuwasiliane ili tujue tutafahamiana vipi maana pia nakuwa makini sana ktk ku make new friends.

NAJUA KUNA WATU MTAKWAZIKA. POLENI. KILA MTU ATA SHARE EXPERIENCE YA MAISHA YAKE. TUSIPANGIANE MAISHA. YOU EAT WHAT YOU HAVE ....
Mtu wa Kanyigo utamjua tu. Mtu anakaa Gongo la Mboto halafu eti ana Benz SUV.
Wahaya zenu Harrier, Rav4 ba Nissan X trail
 
Mtoa mada amka utapitishwa kituo kwenye mwendokasi, we endelea kulala na kuota kwenye mabasi ya wenyewe
 
Kama una udhibitisho wa huyo askari traffic umempa tshs 200,000 kama njia ya kumuonea huruma au asante tu kwa lugha yake ya kuomba hela kidogo ya chai, ni PM, nipe ushahidi, nakurudishia tshs 250,000 leo leo. Ushahidi usio na shaka na ningependa kuongea na askari aliyepokea hela kuhakikisha hilo, ningependa iwe leo leo, niwaone wote wawili, offer hii ni ya leo, mwisho saa 12 jioni. Ni PM
Takukuru at work ha ha ha
 
Mleta mada kaamua kufunguka,maana humu wengi wanalialia Mara hawana ada Mara hawana kodi ya Nyumba,sasa mleta mada kasema yeye ana fwedha.
Hongera bwashee ila usijetomb@ hata watoto chini ya 18yrs utaishia jela na utaolewa.
 
unaamka asubuhi unawasha gari lako kama ni Range, BMW, Benz, Ford, Audi au Jeep... ambalo jana ulipeleka service wakakagua kila kitu ukamwaga oil na kufanya service nzuri kwa garage za ukweli ambazo unawaachia gari na funguo unaondoka wanakupigia simu au wanakuletea ulipo na INVOICE. unalipa maisha yanaendelea.

so leo ndo umeamka asubuhi gari jana hiyo hiyo uliwaambia wakujazie mafuta TOTAL au PUMA. kwa hiyo ipo full tank. leo unaamka tu unakunywa soup na chapati nne unakunywa na VITAL MALT baridi unawasha gari yako safi kabisa maana walishaosha huko huko.

umejipulizia perfume nzuri ya bei ya kawaid tu 400,000 -700,000 umevaa kawaida una pens, na raba simple chini, mkononi una saa ya silver na umevaa tshirt nyepesi. gari yako haidawi kitu yaani hata aje kukagua nani hakukuti na kosa. unachuku pesa kiasi unaweka kwenye wallet tsh 350,000 ili angalau zitoshe kwenye wallet halafu nyingine 650,000 unaziweka kwenye gari kwenye ule mkebe wa siri garini. hasa kama unatumia Benz SUV nadhani kwa wenye kutumia hizi gari watakuwa wameuelewa ulipo.huu hata waosha magari huwa hawajui kama upo.

unaingia barabarani.... huna wasiwasi.. unaon tu wenye gari za toyota hasa vits,ist,passo and the like wanavyokukwepa wakioga kuligusa gari lako. wenye daladala wanasimama na kupita kwa mbali sana na hawataki kabisa kukuchomekea. unajua sometime hata haya magari mnayoendesha yanavutia fujo za wanapendesha dala dala...? uwe na BMW, BENZ,JEEP, FORD and the like then uone kama utachomekewa na wenye daladala au boda boda. mimi nina ushahidi sijawahi chomekewa hata siku moja.

iwe naendesha Range mojawapo katika zile mbili, iwe naendesha Ford Ranger, iwe naendesha Hii Benz SUV au iwe naendesha VW Tourage. sijawahi chomekewa hata siku moja. na huwa naendesha kwa nidhamu nikifuata sheria zoote barabarani.

sasa katika hali hiyo traffic ananisimamish mimi niwe na waswas wa nini? kawaida yangu huwa wakinisamisha nasimama natulia namsubiri aje hata mlango sifungui. akija nashusha kioo kidogo tu huku natizama mbele namsikiliza. akitaka leseni nampa anaangalia anarudisha mara nyingi huwa wanajikuta hawana cha kusema wananambia tu 'habari za kazi boss' jibu langu huwa fupi sana 'nzuri'

basi unamwona tu traffic hana la kusema anauma uma maneno then ananambia haya nenda.

HILI LA LEO NDO SABABU YA KUANDIKA HAYA.

nimeamka kama hivyo nlivyoelezea huko juu. nimefika mitaa ya hapa Fire askari akanipiga mkono. sikufanya hiyana mtu hakatai wito. anakataa aliloitiwa. nikasimama pembeni kama nilivyotakiwa. akaja askari (wa kiume) moja kwa moja akaja dirishani nikashusha kioo kidogo akanisalimia 'habari boss' nikamjibu tu 'nzuri'

akanambia samahani .. kijana mwenzio nipo vibaya ingawa ni mwisho wa mwezi lakini pesa yoote imeshia kulipa madeni na majukumu mengine naomba unisaidia chochote ndugu yangu nikapate hata soup'

niseme wazi sijawah mwonea huruma trafiki kama ambavyo leo imenitokea. nilitoa mkanda nikatoa wallet nikahesabu tshe 200,000 nikampatia. jamaa hakuamini. alitamani kabisa anikumbatie. nlikataa na nikamwambia asitie shaka ile si rushwa so hamna haja ya kuficha ficha maana alikuwa anaogopa. nikamwachia biznez card yangu. akanitajia namba yake.... nimeagana naye kiurafiki kabisa.

jamaa aliomba pesa direct... hakunikagua kagua kunitafutia makosa... hakunipiga beat aliomba kiume. nami nlijisikia heshima kumpatai. hivyo ndivyo siku njema inavyonza unaanza kwa kutengeneza marafiki. kwa kusaidia wenye shida. kwa kuona unaheshimiwa.

siku kama hii mara nyingi huisha vizuri sana.... natoka ofisini saa saba kamili naelekea white sands kama kuna mwana jamii forums atakuwa huko naomba tuwasiliane ningependa tuonane na kufahamiana. maana sometime watu huwa wanatamani tufahamiane. ni jambo jema sema inategemeana na mtu mwenyewe yukoje. kama upo huko tuwasiliane ili tujue tutafahamiana vipi maana pia nakuwa makini sana ktk ku make new friends.

NAJUA KUNA WATU MTAKWAZIKA. POLENI. KILA MTU ATA SHARE EXPERIENCE YA MAISHA YAKE. TUSIPANGIANE MAISHA. YOU EAT WHAT YOU HAVE ....

Haya bwana, wakumbuke na ndugu zako kolomije
 
endelea kuwa na akili hiyo hiyo na imani nyongefu. and FYI mimi siyo kabila hilo na sina uhusiano hata wa karibu na kabila hilo.

Back
Top Bottom