Kitendo alichofanya Huyu Traffic, ameifanya siku yangu iwe hivi...

"Mficha Uchi hazai" nimeamua kuja kupasua jipu
 
Unaamka asubuhi unawasha gari lako kama ni Range, BMW, Benz, Ford, Audi au Jeep... ambalo jana ulipeleka service wakakagua kila kitu wakamwaga oil na kufanya service nzuri kwa garage za ukweli ambazo unawaachia gari na funguo unaondoka wanakupigia simu au wanakuletea ulipo na INVOICE. unalipa maisha yanaendelea.

So leo ndo umeamka asubuhi gari jana hiyo hiyo uliwaambia wakujazie mafuta TOTAL au PUMA maana hivi ndo vituo vyenye mafuta yanayokubali kwenye gari zako.kwa hiyo ipo full tank. leo unaamka tu unakunywa soup na chapati nne unakunywa na VITAL MALT baridi unawasha gari yako safi kabisa maana walishaosha huko huko.

Umejipulizia perfume nzuri ya bei ya kawaida tu 400,000 -700,000 umevaa kawaida una pens, na raba simple chini, mkononi una saa ya silver na umevaa tshirt nyepesi. gari yako haidawi kitu yaani hata aje kukagua nani hakukuti na kosa. unachukua pesa kiasi unaweka kwenye wallet tsh 350,000 ili angalau zitoshe kwenye wallet halafu nyingine 650,000 unaziweka kwenye gari kwenye ule mkebe wa siri garini. hasa kama unatumia Benz SUV nadhani kwa wenye kutumia hizi gari watakuwa wameuelewa ulipo.huu hata waosha magari huwa hawajui kama upo.

Unaingia barabarani.... huna wasiwasi.unakula muziki taratibu.unaona tu wenye gari za toyota hasa vits,ist,passo and the like wanavyokukwepa wakiogopa kuligusa gari lako. wenye daladala wanasimama na kupita kwa mbali sana na hawataki kabisa kukuchomekea. unajua sometime hata haya magari mnayoendesha yanavutia fujo za wanaendesha dala dala...? uwe na BMW, BENZ,JEEP, FORD and the like then uone kama utachomekewa na wenye daladala au boda boda. mimi nina ushahidi sijawahi chomekewa hata siku moja.

Iwe naendesha Range mojawapo katika zile mbili, iwe naendesha Ford Ranger, iwe naendesha Hii Benz SUV au iwe naendesha VW Tourage. sijawahi chomekewa hata siku moja. na huwa naendesha kwa nidhamu nikifuata sheria zoote barabarani.

Sasa katika hali hiyo traffic ananisimamisha mimi niwe na waswas wa nini? kawaida yangu huwa wakinisimamisha nasimama natulia namsubiri aje hata mlango sifungui. akija nashusha kioo kidogo tu huku natizama mbele namsikiliza. akitaka leseni nampa anaangalia anarudisha mara nyingi huwa wanajikuta hawana cha kusema wananambia tu 'habari za kazi boss' jibu langu huwa fupi sana 'nzuri'

Basi unamwona tu traffic hana la kusema anauma uma maneno then ananambia haya nenda.

HILI LA LEO NDO SABABU YA KUANDIKA HAYA.

Nimeamka kama hivyo nlivyoelezea huko juu. nimefika mitaa ya hapa Fire askari akanipiga mkono. sikufanya hiyana mtu hakatai wito. anakataa aliloitiwa. nikasimama pembeni kama nilivyotakiwa. akaja askari (wa kiume) moja kwa moja akaja dirishani nikashusha kioo kidogo akanisalimia 'habari boss' nikamjibu tu 'nzuri'

Akanambia samahani .. kijana mwenzio nipo vibaya ingawa ni mwisho wa mwezi lakini pesa yoote imeshia kulipa madeni na majukumu mengine naomba unisaidia chochote ndugu yangu nikapate hata soup'

Niseme wazi sijawah mwonea huruma trafiki kama ambavyo leo imenitokea. nilitoa mkanda nikatoa wallet nikahesabu tshe 200,000 nikampatia. jamaa hakuamini. alitamani kabisa anikumbatie. nlikataa na nikamwambia asitie shaka ile si rushwa so hamna haja ya kuficha ficha maana alikuwa anaogopa. nikamwachia biznez card yangu. akanitajia namba yake.... nimeagana naye kiurafiki kabisa.

Jamaa aliomba pesa direct... hakunikagua kagua kunitafutia makosa... hakunipiga beat aliomba kiume. nami nlijisikia heshima kumpatia.hivyo ndivyo siku njema inavyonza unaanza kwa kutengeneza marafiki. kwa kusaidia wenye shida. kwa kuona unaheshimiwa.

Siku kama hii mara nyingi huisha vizuri sana.... natoka ofisini saa saba kamili naelekea white sands kama kuna mwana jamiiforums atakuwa huko naomba tuwasiliane ningependa tuonane na kufahamiana. maana sometime watu huwa wanatamani tufahamiane. ni jambo jema sema inategemeana na mtu mwenyewe yukoje. kama upo huko tuwasiliane ili tujue tutafahamiana vipi maana pia nakuwa makini sana ktk ku make new friends.

NAJUA KUNA WATU MTAKWAZIKA,MTAUMIA NA KUTESEKA SANA. POLENI. KILA MTU ATA SHARE EXPERIENCE YA MAISHA YAKE. USITAKE NIZUNGUMZIE MAISHA YA SHIDA WAKATI SIIFAHAMU SHIDA.WEWE ZUNGUMZIA SHIDA NTAJIFUNZA KWAKO.TUSIPANGIANE MAISHA. YOU EAT WHAT YOU HAVE ....
Hivi akina Bill Gates, Warren Buffet, Jack Ma, Jeff Bezos etc wanaweza kuandika hivi kweli? Nakupongeza you are rich but do you have to boast so much? Hasa hapa ulipomalizia kwa herufi kubwa umezingua mkuu.

Ukiwa rich just be humble tu maana mwisho wa siku its your money. Huku jf kuna mtu amekosa hata uji wa kumpa mtoto na si kwamba ni mvivu hapana, kazaliwa kakuta hali hiyo, hajasomeshwa, hana mtaji hana connection yoyote yaani yupo tu anapumua na hajui leo wala kesho atakula nini. Sasa mtu huyo akisoma post yako hasa hapo mwishoni anaumia sana.

By the way, have you ever thought about the other side of the coin? Like suddenly you lose all your kidneys or you get a cancer of some sort, do you think your money will do anything to save you? From the way you have written your post i doubt if you pray at all, do you?

Well, there is something to learn from your post. ''TUTAFUTENI HELA ZAIDI WAJAMENI'' Huyu Muhaya kakomesha chaah!!😂😂
 
Kama ni kweli basi umefanya jambo moja zuri sana kumsaidia huyo askari, wanasema huhitaji kufanya mambo makubwa sana ili ufanikiwe but vitu vidogo ambavyo vinagusa ndani kabisa ya moyo wa mtu kama ulivyofanya. Imagine dua atakayokuombea huyo askari vile itakavyokuwa na impact katika hustle zako..... BIG UP YOUNG MAN.
 
Sio Dua Tu Mkuu Hata Furaha Aliyoiweka Ndani ya Moyo wa Huyo Askari ni Baraka Tele Tunasema Amezoa Baraka Kwa GREDA.

Mkuu naomba na mm unisaidie kiwango chochote utakacho jisikia
 
1. MIMI SIYO MUHAYA
2. BILL GATES ET AL WANA MAISHA YAO NAMI NINA MAISHA YANGU.

Hivi akina Bill Gates, Warren Buffet, Jack Ma, Jeff Bezos etc wanaweza kuandika hivi kweli? Nakupongeza you are rich but do you have to boast so much? Hasa hapa ulipomalizia kwa herufi kubwa umezingua mkuu.

Ukiwa rich just be humble tu maana mwisho wa siku its your money. Huku jf kuna mtu amekosa hata uji wa kumpa mtoto na si kwamba ni mvivu hapana, kazaliwa kakuta hali hiyo, hajasomeshwa, hana mtaji hana connection yoyote yaani yupo tu anapumua na hajui leo wala kesho atakula nini. Sasa mtu huyo akisoma post yako hasa hapo mwishoni anaumia sana.

By the way, have you ever thought about the other side of the coin? Like suddenly you lose all your kidneys or you get a cancer of some sort, do you think your money will do anything to save you? From the way you have written your post i doubt if you pray at all, do you?

Well, there is something to learn from your post. ''TUTAFUTENI HELA ZAIDI WAJAMENI'' Huyu Muhaya kakomesha chaah!!😂😂
 
... wanadamu bwana, hatupendi kabisa kusikia mtu ana maisha mazuri, anamiliki vitu adimu. Tukubali tu kuwa hapa hapa bongo wapo wachache Mungu kawapa maisha makubwa, wame-fight either kwa kuiba au halali lakini wapo vizuri.

Tukubaliane tu kuwa wapo wenzetu maisha safi, iwe kaleta fiction au kweli.
👍
 
Imekula kwako details zako anazo jiwe subiria kesi ya uhujumu uchumi. Kama hujui muulize mr hen.
 
Back
Top Bottom