T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,517
Nakuunga mkonomtoto akiwa anacheka na wewe alafu akakutia kidole katikati ya makalio utasema usimpangie cha kufanya eti kwakua vidole vya kwake anauwezo wa kuvichezea atakavyo
mimi siwezi kukubali kudhalilisha muhimili wangu mkumbwa kama jeshi kufedheheshwa kiasi hicho huyu atakamatwa tu we unafikili sheria ya makosa ya mtandao imefutwa??
mkuu kwa hili uliloliandika tutakupata tu