Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
kitendawili?
/
/
/
nipe mji...............
/
/
/
nipe mji...............
Acha uongo unataka kuniambia kila mtu anayewekewa drip ni mzee,au kila ukiwa mtu mzima unakunywa pombe?Wee kama vipi mpe mji tuu!!Ya kwanza unakunywa utotoni, ya pili ukiwa mwanafunzi, ya tatu ukiwa mtu mzima, ya nne ukizeeka!