Je, Makonda atapandishwa Cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM leo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Ile kiu ya muda kiasi kumsubiria Katibu mkuu mpya wa CCM huenda ikakatwa leo.

Je, ni Makonda, Dr Nchimbi, Komredi Sadifa, Dr Chalamila au nani? Kitendawili kutenguliwa Visiwani leo

Mungu wa mbinguni Ibariki CCM.
 
Ile Kiu ya Muda kiasi kumsubiria Katibu mkuu mpya wa CCM huenda ikakatwa leo

Je, ni Makonda, Dr Nchimbi, Komredi Sadifa, Dr Chalamila au nani? Kitendawili kutenguliwa Visiwani leo

Mungu wa mbinguni Ibariki CCM
Kwa chama ilipofika lazima ma tahira yapeane
 
Ile Kiu ya Muda kiasi kumsubiria Katibu mkuu mpya wa CCM huenda ikakatwa leo

Je, ni Makonda, Dr Nchimbi, Komredi Sadifa, Dr Chalamila au nani? Kitendawili kutenguliwa Visiwani leo

Mungu wa mbinguni Ibariki CCM
Dr Nchimbi angewasaidia sanaa.....daa yule wa kuleta madawa kapotezwa
 
Ile Kiu ya Muda kiasi kumsubiria Katibu mkuu mpya wa CCM huenda ikakatwa leo

Je, ni Makonda, Dr Nchimbi, Komredi Sadifa, Dr Chalamila au nani? Kitendawili kutenguliwa Visiwani leo

Mungu wa mbinguni Ibariki CCM
HATA AKIWA U- PM, NI JUU YENU , HATA mkimfanya kuwa POPE wa CCM ni juu yenu
 
Back
Top Bottom