Kitendawili

Kitendawili

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,891
Reaction score
20,128
[h=6]Mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliwaambia wanafunzi wake waulizane vitendawili. Wanafunzi wawili wakasimama kuulizana.,
MWANAFUNZI 1:"Kitendawiliiiiiiiii....."
MWANAFUNZI 2:"Teghaaaaaaaa...."
MWANAFUNZI 1:"Nivue nguo nikupe utamu...

Mwalimu kuckia hicho kitendwili akabaki ametoa mijicho huku ameduwaa akisubiri jibu kutoka kwa mwanafunzi wa 2!.

MWANAFUNZI 2:"Ndiziiiiiiiiiiiiiii......"
[/h]
 
mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliwaambia wanafunzi wake waulizane vitendawili. Wanafunzi wawili wakasimama kuulizana.,
mwanafunzi 1:"kitendawiliiiiiiiii....."
mwanafunzi 2:"teghaaaaaaaa...."
mwanafunzi 1:"nivue nguo nikupe utamu...

Mwalimu kuckia hicho kitendwili akabaki ametoa mijicho huku ameduwaa akisubiri jibu kutoka kwa mwanafunzi wa 2!.

Mwanafunzi 2:"ndiziiiiiiiiiiiiiii......"

na ilikuwa shule ya wanafunzi wa kike, mwalimu alikuwa wa kiume. Kidogo astopishe wanafunzi kutoa jibu la kitendawili, ili atoe jibu mwenyewe kwa kusema ndiyooooooooo. Ha ha ha, alihisi anapewa nini sijui.

Au ndo wewe bingwa?
 
sipati picha jinsi mwalimu alivyo duwaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom