donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Haha,dar siendi mkuuNakupa mji wa Daslam.
Nipe jibu
Basi nenda Namtumbo...Haha,dar siendi mkuu
Chato hakupendi ?!Basi nenda Namtumbo...
Wewe ndio haujaelewa, soma tenaHamjaelewa aliempiga picha ndo ishu hii inasema kuwa mume alivokua office alimwanbia mkewe amtumie picha akatuma hyo so alopiga picha ndo ishu pengine wanavoishi ni wawili tu na hakumpa ruhusa ya kuingia yyte amekeuka maagizo
Hiyo imeandikwa upya tu baba zaman ilishatoka hii sasa km mumewe alimchukua picha kabla hajaenda kazini wkt anamchukua hizo picha huyo mjamaa mnaesema amejificha sjui wapi alikua hajamuonaWewe ndio haujaelewa, soma tena
Mkuu hii tumeizungunzia humu karibia miaka kama miwili hvi unapoileta tena unachosha watu, inatakiwa tuone kitu kipya na sio kufukua makaburi
Hongera, imara, waa.Ukiizoom hiyo picha kwenye tendegu ya kitanda waya mweupe unaposhukia kuna sura ya mwanaume.
Huyo Wife alikuwa anachepuka *****....
Sawa mkuuMkuu hii tumeizungunzia humu karibia miaka kama miwili hvi unapoileta tena unachosha watu, inatakiwa tuone kitu kipya na sio kufukua makaburi
alikua hachepuki iko ni kivuli cha camera man jaman kamuua bure tuUkiizoom hiyo picha kwenye tendegu ya kitanda waya mweupe unaposhukia kuna sura ya mwanaume.
Huyo Wife alikuwa anachepuka *****....
alikua hachepuki iko ni kivuli cha camera man jaman kamuua bure tu