Kitendawili...Wanamtandao ndio Kina nani hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili...Wanamtandao ndio Kina nani hawa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Apr 3, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nikisikia kila mara kuhusu hili suala la wanamtandao. Kuanzia kampeni za uchaguzi, utawala wa nchi, uteuzi wa viongozi wa serikali ya Mh. JK etc. Naomba kujua, je, ni kina nani hawa? Je, diyo wenye kuongoza serkali? Nguvu zao ni kubwa kiasi gani katika kutuchagulia viongozi? Je, kazi zao zaonyesha ni kulegalega kwa utawala wa sheria hadi watu ku-seek protection ya hawa wanamtandao? Ni njia gani ya kuondoa hii dhana ya wanamtandao? Je, wanaweza kuwa na nguvu kama mafioso wa kirusi?

  Naomba jibu wanaJF!
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si wana JF hao, au?
   
 3. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  LOL. Majibu mengine bwana!
   
 4. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Uwasiliane na EL,RA na HC watakueleza vizuri wenzao na wanafanya nini.
   
 5. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Hata wewe unawajua kulingana na ulivyouliza swali lako
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  ''Siasa ni kazi ya makundi, tena zaidi kila chaguzi hutengeneza makundi'' Kingunge Ngombale Mwilu
  '' Makundi wakati wa uchaguzi hayaepukiki, kila kundi lina mgombea linalo muunga mkono, hawa sikuhizi wanaitwa wapigadebe, wanamtandao na kadharika'' Jakaya Mrisho Kikwete.
   
Loading...