Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,710
Jiko la gesi nalo lina mafiga? Mkubwa wa jiko ni chumvi bibie hujuwi kuwa Chakula bila ya chumvi hakinogi? Sawasawa na mwanamme asiye kuwa na Mwanamke hana raha ya maisha.
na mwanamke asiye kuwa na mwanamme anakuwaje.