#2 ) how to test baking soda kama bado inafanya kazi uzuri....ili isikuharibie upishi wako....
Chukua bakuli dogo na safi mimina vinegar(siki) kidogo tu then add teaspoon ya baking soda...itafanya mapovu mengi sana kama inafoka....mapozi yatachukua mda hadi kuondoka...
Kadri inavofanya mapovu mengi ndio baking soda ipo vizuri zaidi kupikia...
Sawa ahsante mamito mapishi ni sayansi vilevile 🙂

Shukrani sana ndugu
Na hamira je, lol! Hapo kwenye mdalasini umenipata. Siku ya kukaanga samaki aisee natamani kuhama nyumba. Naishia kusugua jiko na vim kila mahali na kukimbizana na kuosha vyombo walau kupunguza shombo. Asante sana.
SourceThe empty half of an egg shell is the best tool to extract stubborn bits of cracked shells that have ended up in the bowl. As Niki says, "They're like magnets!"
Hamira ntaweka inshaallah....usijali shosti so siku hizi ukikaanga samaki wala hujikeri tena
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nice trick mamaa umenihelp mbaya..
Thax. .
nice trick mamaa umenihelp mbaya..
Save energy by soaking beans overnight for cooking next day, else tumia pressure cooker.