Uchaguzi 2020 Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMA

Kwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe. CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
 
Kwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe.
CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
Hahahaha nakubaliana na wewe

Usaliti wa 2015 safari hii ccm wamejifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe.
CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
Acha kujidanganya mkuuu... tutaendelea kunufaika na makundi yenu kiulaini kbs...Mdee ataendelea kushinda kawe Kama kawa
 
Makundi ndani ya CCM YALIKUFA RASMI 2015 usitarajie kuyaona tena.AKISHAPITISHWA MMOJA WOTE WANAUNGANA KUMUUNGA MKONO

Hapo ni demokrasia tu iko kazini,KILIMAJARO WAMEOMBA WATU 241 kuomba kuteuliwa na CCM .CHADEMA wengi wahawajaomba sababu hawaitaki chadema .Ushahidi majimbo ambayo Chadema wamweka wagombea ni asilimia tano tu ya majimbo yote ya uchaguzi Tanzania
Cdm inakutesa sana we kiazi utakuja kuolewaa mtoto wa kike
 
tuseme ukweli tu kwa jinsi binti Halima alivyoisumbua sirikali bungeni njia zote za halali na haramu zitatumika kumuengua, kama Halima akishinda itakuwa ule msemo Jitihada haishindi Kudura!! yaani Ngamia atapita kwenye tundu la sindano!!

Kuna muvi inaitwa Gladiator ambapo unajifunza humo kuwa mtazame vizuri adui yako kabla hujaingia nae vitani sababu itakusaidia kurudisha mpira kwa golikipa kama Mnyika

Halima itabaki stori aliwahi kuwa mbunge machachari wa Kawe!! hawezi kushinda by any means and she should start to prepare to face that reality and get used to it!!

pole sana for Halima, chadema and democracy!!
 
Unaishi wp mkuu mpk unajitoa ufahamu hv?? Hakuna uchaguzi usio na makundi hata ss huku chadema makundi yapo,.lkn tofauti yetu na ninyi ni kuyalea...sisi chaguzi ikiisha na kundi linavunjika rasmi...ccm yanalelewa hadi uchaguzi ujao...ndo pale sisi wapinzani tunaponufaika nayo kwn huja na tukose wote
Makundi yenu ni mabaya zaidi maana mara nyingi huishia watu kuhama chama
 
Mimi mtazamo wangu ni tofauti,nadhani wingi wa watia nia ni advantage kwa CCM,maana watia nia 80 mpaka hapo kila mtia nia kisaikolojia ameshakata tamaa! Hata watakaoshindwa wataona ni kawaida tu,labda kama kutakuwa na mizengwe ya waziwazi.Hatari ingekuwa kama wagombea wangekuwa wachache,labda 4 hivi hapo kila mmoja angekuwa anaona chance ya kupata uteuzi ni kubwa kuliko hali ilivyo sasa.Kisaikolojia wote wameshakata tamaa,hata wasipoteuliwa "reaction" yao sio kubwa kihivyo.
 
Back
Top Bottom