Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,876
- 79,577
Leo wanaongezeka wengineKawe wamefika 100, kinondoni 55
Kinondoni Abbas Tarimba wanampitisha
Leo wanaongezeka wengineKawe wamefika 100, kinondoni 55
Na 2015 ilikuwaje akashinda?Unaweza kuwa sahihi maana halima 2010 aliupata baada ya Katibu wa Mkoa wa CCM kuingiza jina la Kizigha kinyemela wanaCCM wakanuna na kumpa mdee.
This time halitokei hili , km Mdee kushinda atashinda kihalaliUnaweza kuwa sahihi maana halima 2010 aliupata baada ya Katibu wa Mkoa wa CCM kuingiza jina la Kizigha kinyemela wanaCCM wakanuna na kumpa mdee.
Hahahaha nakubaliana na weweKwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe.
CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
Acha kujidanganya mkuuu... tutaendelea kunufaika na makundi yenu kiulaini kbs...Mdee ataendelea kushinda kawe Kama kawaKwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe.
CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
ccm haijawahi kujifunza kwa hilo...labda mshinde kwa mtutu wa bundukiHahahaha nakubaliana na wewe
Usaliti wa 2015 safari hii ccm wamejifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
ThubutuuuuJipeni moyo tu,umsolopaghaz wanakuja Mdee atafute kazi ingine kwa sasa
Cdm inakutesa sana we kiazi utakuja kuolewaa mtoto wa kikeMakundi ndani ya CCM YALIKUFA RASMI 2015 usitarajie kuyaona tena.AKISHAPITISHWA MMOJA WOTE WANAUNGANA KUMUUNGA MKONO
Hapo ni demokrasia tu iko kazini,KILIMAJARO WAMEOMBA WATU 241 kuomba kuteuliwa na CCM .CHADEMA wengi wahawajaomba sababu hawaitaki chadema .Ushahidi majimbo ambayo Chadema wamweka wagombea ni asilimia tano tu ya majimbo yote ya uchaguzi Tanzania
Mkuu mm sio ccm nitake radhi asee ,naandika nayoyajuaccm haijawahi kujifunza kwa hilo...labda mshinde kwa mtutu wa bunduki
Nlichogundua mnamhofia sana GwajimaMdee kumtoa hapo kawe nindoto za mchana kwanza sijaona mtu mwenye sifa za ziada sasa mcheza xxxx Gwajima anapitaje kwa mfano.
Makundi yenu ni mabaya zaidi maana mara nyingi huishia watu kuhama chamaUnaishi wp mkuu mpk unajitoa ufahamu hv?? Hakuna uchaguzi usio na makundi hata ss huku chadema makundi yapo,.lkn tofauti yetu na ninyi ni kuyalea...sisi chaguzi ikiisha na kundi linavunjika rasmi...ccm yanalelewa hadi uchaguzi ujao...ndo pale sisi wapinzani tunaponufaika nayo kwn huja na tukose wote
Nguvu ya LowassaNa 2015 ilikuwaje akashinda?
Hahahaha uzuri wa Gwaji yy tu anajimuduNlichogundua mnamhofia sana Gwajima
Mshana, mbona sioni Halima kulitetea jimbo lake? She is so naive napata maumivu mimi!Ni wakati wakihangaika na yote haya Halima Mdee atakuwa busy kuimarisha himaya yake.