mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Wana roho yao hao
Habari za saa hizi wana MMU.
Kuna jambo limekuwa likinitatiza maana kuna jamaa yangu mmoja alikuwa akiishi na wanawake wawili, na wote alikuwa akilala nao kitanda kimoja sasa swali ni kwa wadada hivi kweli watu waliostaaribika (ondoa madada poa ambao wanaweza fanya lolote kwa sababu ya pesa) wanaweza kufanya jambo kama hili.
Hawakuwa madada poa, kaka nao kama mwaka na nusu mke mdogo na mkubwa.
sasa mbona jibu unalo?
Upo? Feeling better about that issue?
Habari za saa hizi wana MMU.
Kuna jambo limekuwa likinitatiza maana kuna jamaa yangu mmoja alikuwa akiishi na wanawake wawili, na wote alikuwa akilala nao kitanda kimoja sasa swali ni kwa wadada hivi kweli watu waliostaaribika (ondoa madada poa ambao wanaweza fanya lolote kwa sababu ya pesa) wanaweza kufanya jambo kama hili.
haha haaa will post tomorrow kama ntamaliza meeting mapema! but u cant blv I prayed@ the start of the year niweze kuachana na those issues, happy now naona atleast I am OK! its shocking news madam nikikuambia n may b u wont believe!
Duuu, we jamaa unafaudu kinoma, kwa hiyo ukichapa kimoja huku, unageukia tena na huku nako unapiga!!!!, vipi huwa una experience the difference!!???Hawakuwa madada poa, kaka nao kama mwaka na nusu mke mdogo na mkubwa.
Duuu, we jamaa unafaudu kinoma, kwa hiyo ukichapa kimoja huku, unageukia tena na huku nako unapiga!!!!, vipi huwa una experience the difference!!???
combination inaitwa FFM.
Kwa nini alioa mwingine wkt Hana uwezo? Udhalilishaji tu huoSasa nini kishindikane kijana? Wamekubaliana na ndo umekuwa ustaarabu wao. Huwezi jua jamaa kawaweka nyumba moja chumba kimoja kuepuka gharama za kumjengea/kumpangishia huyo mwingine. All in all ndivyo walivyokubaliana na wote wako happy to each other for their man.
Possibly, wote wanapenda threesome haoEffect za porn video