excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
Jana nilikuwa napitia file lile la manaiki sanga, nimeona yeye ameweza kulala na mpaka wanawake watatu kwa mara moja!!!
Sijajua kama wale ni madada poa ama la, ila nilikua najiuliza ni jinsi gani huyu kijana katumia ushawishi wake mpaka kuwalala hawa mabinti wengi kwa pamoja!
Haya mambo sometimes yanawezekana! Siku hizi wanawake wametiliwa ngumu kuolewa! So akipata kinafasi, anakiganda kama kupe!!!!