Kitanda kimoja na wanawake wawili

Kitanda kimoja na wanawake wawili

kijani11

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
8,374
Reaction score
9,163
Habari za saa hizi wana MMU.

Kuna jambo limekuwa likinitatiza maana kuna jamaa yangu mmoja alikuwa akiishi na wanawake wawili, na wote alikuwa akilala nao kitanda kimoja sasa swali ni kwa wadada hivi kweli watu waliostaaribika (ondoa madada poa ambao wanaweza fanya lolote kwa sababu ya pesa) wanaweza kufanya jambo kama hili.
 
sasa wewe si ndo umewaona?
si ndo ungetuambia ni madada poa au not?
 
Sasa nini kishindikane kijana? Wamekubaliana na ndo umekuwa ustaarabu wao. Huwezi jua jamaa kawaweka nyumba moja chumba kimoja kuepuka gharama za kumjengea/kumpangishia huyo mwingine. All in all ndivyo walivyokubaliana na wote wako happy to each other for their man.
 
Ushawahi kuwaona wakiwa wamelala pamoja?
 
safi sana hapo nyumba lazima iwe na maeleweno. Pia inaonyesha ni jinsi gani jamaa alivyo shababi. Haki sawa hapo, kama ni viwili kila moja,
 
Back
Top Bottom