Kitanda Cha Ukweli

Kitanda Cha Ukweli

Kwa Mazaga zaga ya huku kwetu hivyo havitufai, maana kuna mademu wazito km mamba au kiboko sasa ukimgalagaza hapo kinakatika.

sie saizi yetu vile vitanda vya POPO BAWA aaah hapo uwe na Mwana swala, Sungura au Kiboko ruksa!
 
nikipata kimoja wapo hapo, maumivu yote ya mgongo wa "BOXI" yataisha lol
 
cinema1.jpg
 
mwisho ya yote utalala tu kwenye udongo ndani ya kashimo ka futi sita kwa moja na nusu
 
haya mavitanda na samani nyingine nyingi yanatengenezwa kwa wingi sana mji mmoja unaitwa Foshan karibu na Guangzhou
 
Haya bwana, hizi huwa zinakuja kila mwaka kwa ajili ya ikulu ya magogoni, huwa natilia shaka ubora wake kama ni bora kwa nini tununue kila mwaka......ila vikiwa ndani vinapendeza saaana!!
 
Haya bwana, hizi huwa zinakuja kila mwaka kwa ajili ya ikulu ya magogoni, huwa natilia shaka ubora wake kama ni bora kwa nini tununue kila mwaka......ila vikiwa ndani vinapendeza saaana!!

Kulala ni kulala tu. Tena basi wakati mwingine mwenye kitanda cha godoro la sufi anapata usingizi kuliko anayelala kwenye kitanda kama hicho.
 
Really sad. Hivi umeshahesabu ni miaka mingapi imebakia kabla ya kulalia kitanda cha udongo japo kwa kwa kukadiria?
 
Back
Top Bottom