Jamani Only.... Are you saying kila ujualo ulishuhudia?? Jamani...... Dah! Mugabe ni mtu ambae hata choo chake habari huandikwa (au ulipitwa na ile habari ya askari alotiwa ndani baada ya kujisaidia choo cha Mugabe...hio ilikua hot news and a seven day news thump)