hips.com
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 344
- 91
Usimuite sana hata mimi ninaweza kukupatia usingizi mnono na kesho ukaniomba tena
Eeee😱Daud 1 kam fasta mwenzio Sina usingizi sasa😉
Usimuite sana hata mimi ninaweza kukupatia usingizi mnono na kesho ukaniomba tena
Upo bibie umeona athari za michepuko?
nimeziona mi nipo njia kuu
Nadhani nimemaliza yangu labda kama una swali mkuu
kaka hadithi tamu kweli. ndio hali inayotokea sana kwenye nyumba za kupanga haswa jijini Dar.
Ana wivu wakati naye anasasambuliwa na mapangaji mpya