Wakuu Habari za usiku
Kama thread inavyosema Nahitaji Kitambulisho cha utaifa,
Nipo Dar es salaam
Je Gharama yake ni sh ngapi?
Inachukua Muda Gani Mpaka Kukipata Kitambulisho
Hakitolewi kwa pesa...chakufanya fika ofisi za NIDA katika wilaya uliopo utapewa fomu ya kujaza ksha utaipeleka ofisi za serikali ya mtaa uliopo. Ukiirudisha fomu ofisi za Nida utapgwa picha na utasubirìi mpaka siku utajulishwa kikiwa tayari
Vitambulisho vya Taifa vinatolewa na NIDA. Fuata maelekezo watakaokuelekeza, na ukikidhi vigezo na ukatambulika kuwa ni mtanzania halisi, utapatiwa bureeee kabasa hakuna malipo.