Kitambulisho Cha Utaifa (Tanzania)

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Wakuu Habari za usiku
Kama thread inavyosema Nahitaji Kitambulisho cha utaifa,
Nipo Dar es salaam
Je Gharama yake ni sh ngapi?
Inachukua Muda Gani Mpaka Kukipata Kitambulisho

Na Hatua za kufuata ni zipi?

Ahsanteni!
 
Hakitolewi kwa pesa...chakufanya fika ofisi za NIDA katika wilaya uliopo utapewa fomu ya kujaza ksha utaipeleka ofisi za serikali ya mtaa uliopo. Ukiirudisha fomu ofisi za Nida utapgwa picha na utasubirìi mpaka siku utajulishwa kikiwa tayari
 
Vitambulisho vya Taifa vinatolewa na NIDA. Fuata maelekezo watakaokuelekeza, na ukikidhi vigezo na ukatambulika kuwa ni mtanzania halisi, utapatiwa bureeee kabasa hakuna malipo.
 
Ni bure nenda Nida lakini usitoe taarifa za uwongo tafadhali usijekamatwa hukombeleni
 
Kwa dsm, anaefaham zilipo ofisi za nida. Nataka niende Ni aibu kutokua na kitambulisho ‍♂️
 
Asante mkuu
Fika jengo la TTCL Pale viwaja vya Machava kwa kigamboni
762e489524c97f203524e3bf8f13adc7.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom