Unaishi wilaya gani?Kwa dsm, anaefaham zilipo ofisi za nida. Nataka niende Ni aibu kutokua na kitambulisho ♂️
Unaishi wilaya gani?
Sijui kama wilaya ya kigambon kama ipo ofisi za NIDA au uende ofisi za NIDA wilaya ya temeke zipo Changombe Bora karibu na TRA ya TemekeKigamboni mkuu
Sijui kama wilaya ya kigambon kama ipo ofisi za NIDA au uende ofisi za NIDA wilaya ya temeke zipo Changombe Bora karibu na TRA ya Temeke
Fika jengo la TTCL Pale viwaja vya Machava kwa kigamboniAsante mkuu
Mimi na Joseverest tunaishi Arusha