Wapi naweza kupata oil chafu kiasi cha kutosha kupaka mbao

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,188
2,465
Wakuu habari za muda, nipo jijini Dar Es Salaam, niliweka mada kuhusu mbao nilizoezekea kubunguliwa.

Nimepata michango miongoni mwa wadau akaniambia kupaka oil chafu. Je ninaweza kupata wapi kiasi cha kutosha kwa ajili ya shughuli hiyo?.
 
Back
Top Bottom