Mimi ni mtanganyika Ninaishi ugaibuni, na ninahitaji kujua namna ya kupata kitambulisho cha Mzanzibari Mara nitakaporejea Tanzania.
Je, mzanzibari nao wana vitambulisho vya NIDA? Je, Samia Suluhu Hassan ana kitambulisho cha NIDA na cha Mzanzibari? Je, ninaweza kuomba kazi zanzibar ilihali mimi ni Mtanganyika?