Kitambue chombo VOYAGER 1

Mzee soma habari za cohesive na adhesive forces utaelewa
 
Mkuu Kuna vitu vingine nakuelewa sana ila Kuna baadhi ni vya kawaida sana kwa mfano suala na mchana na usiku kutofautiana ni jepesi mno ungekuwa karibu ningekuonyesha kwa vitendo
 
Mzee soma habari za cohesive na adhesive forces utaelewa
ni bora ungeliandika tu hapa tukafaidika mamoja ukatufafanulia kisha ukaielezea in real terms katika level ya maji makubwa ya bahari na maziwa sio katika level ya maabara tu
 
Kaka nimekukubari ngoja nimwambie mzee wakuyojaliwa akupe kazi yakutafiti kama kuna njaa au vipi
 
Milk way galaxy hata usiku inaonekana kwa kiasi kikubwa,ukitumia telescope za kawida tu unaiona hata andromeda,alafu tusiijue dunia tunayoishi.
kila kitu tunaki-project ndani ya akili zetu tu baada ya kwisha kuambiwa huki ni kitu gani,
-kama angelikuwa hujaambiwa ile ni milk way usingeamini hivo
-kama engelikuwa hujaambiwa dunia inazunguka usingeamini
-kama ingelikuwa hujaambiwa dunia ni duara usingeamini
-kama engilikuwa hujaambiwa gravity ndio ilotunasisha hapa sote na kila kitu usingeamini

chukulia kwa mfano tu kama ingekuwa tumefundishwa kuwa dunia yote ni tambarare ina milima na mabonde,bahari maziwa na mito na imetulia na haizunguki kama vile ambavyo tunaweza kuihisi na kuiona kwa macho yetu wenyewe
kisha akatokea mtu akapinga ukweli huo tulofundishwa na akasema kuwa "hapana hii dunia inaruka na inaelea hewani na unaishi kichwa juu miguu chini na kinachokuzuia wewe usianguke ni nguvu kama ya smaku" si tungemuona huyu mtu kama ana kichaa
 
kama angelikuwa hujaambiwa ile ni milk way usingeamini hivo
Hata mwezi pia niliambiwa nilipokuwa mdogo sana huo ni "mwezi" nimefundishwa na wazazi wangu,kwa hiyo unasema hata kama wazazi wangu wasingeniambia nisingejua kuwa huo ni mwezi?ingefikia tu wakati ningeutolea jina kwa sababu nauona ningeuita "tonge ugali"
 
hapa nimekusudia vitu ambvyo huwezi kuvi-verify mwenyewe kama gravity kutugandisha hapa,au vile kuwa nje ya dunia kuna space,sio vitu ambavyo unaviona na unahitaji kujua majina tu
 
hapa nimekusudia vitu ambvyo huwezi kuvi-ferify mwenyewe kama gravity kutugandisha hapa,au vile kuwa nje ya dunia kuna space,sio vitu ambavyo unaviona na unahitaji kujua majina tu
Gravityyyy ok! Watazame waendesha baiskeli na pikipiki wanaposimama na wanapokuwa kwenye motion.utapata hesabu, kwa nini mwezi hautuangukii na sisi hatuliangukii jua.
 
kama engelikuwa hujaambiwa dunia inazunguka usingeamini
Unajua ukiwa stesheni ndani ya train,halafu train nyingine ikawa inaondoka utafikiri train uliyokuwemo ndio inayoenda lakini ukiobserve vizuri utaona ile inayotembea ni train gani.
 
kama ingelikuwa hujaambiwa dunia ni duara usingeamini
Imani za kale zilikuwa ni kwamba dunia ni tambarare, lakini na huo mtazamo uliwatisha wanadamu na mabaharia pia, kuwa wakienda mwisho wa dunia wataangukia kwenye maporomoko makubwa ya maji,na hawataonekana tena, na kwamba dunia imeshikwa na mapembe ya ng'ombe mkubwa sana.
 
Hata maumbile ya duwara ni gravity ndiyo inayosababisha kasoro "asteroids" ambazo hazina mass
 
Mimi kwa ukubwa wa dunia hii najiona kama "bacteria" na mimea naiona kama "algae"
 
Mkuu zenjibaria leo hii watu walio ndani ya space station wakiangalia dunia hawaoni kama kuna ustaarabu wa binaadamu mpaka watumie telescopes wazoom ndio wanaona, hata mlima kilimanjaro ni mpaka wazoom ndio wa uone sasa piga hesabu ndege ya abiria udogo wake hakuna haja ya "nose down"
 
Baada ya uranium kwisha naamini hakitoweza kubaki tena huko kwa maana kitarudi chini...jee hakitoweza kuleta athari kwa binadamu? Au mwisho wake utakuwaje?
Huko hakuna gravity ya kusema kidondoke chini wangu kitaendelea kubakia kikielea km vimondo na structure nyingine za kwenye space!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…