Kitambue chombo VOYAGER 1

mbona unaendana na mafundisho yao sasa? Ambayo unayapinga?!?! Tupe uchunguz wako hatutak vyao ili nasisi tujivunie kuwa tuna NASA yetu! Japo tunabana matumiz!!
 
Reactions: T11
Sijui Imani yako but naona umesema uumbaji wa Mungu so unaamini kuna Mungu.
Then kamsome Joshua jinsi alivyosimamisha jua ndio utajua kipi kinazunguka kati ya jua/mwezi na hii dunia...
Pulsar - Wikipedia
Kwenye qur,aan tukufu kuna sura nzima inayoziongelea nyota hizi zenye kugonga gonga pulsars.suratul a dhaariq.
 
Ahsante bro umenifungua akili kwa kiasi fulani nami ngoja nifanye utafiti
 
ZENJIBARIA asante sana mkuu kwa elimu yako. Umeshusha nondo za ukweli. Umenifanya nifunguke kimawazo.

Nitafanya utafiti zaidi kuongezea maarifa.
 
Leo usiku panapo majaaliwa nitazima taa zote halafu nitalala uwani nitaangalia juu,nione je ni sisi duniani ndio tunaozungushwa au ni nyota ndio zinazotuzunguruka,halafu mrejesho wangu utakuwa ni kwenda zenjibar kupata tawheed japo nnayo.
 
mafundisho yote haya ya kuwa dunia inaruka kwenye infinity space na jua liko mamilioni ya miles na mambo mengi sana walitufundisha tangu tuko wadogo hatuna fahamu pia kwenye ujana kutuekea masharti kuwa huwezi kupasi mitihani ya skuli na kimaisha mpaka ugandishe elimu hizi kwenye akili,sasa tumekuwa watu wazima tunachukulia kuwa yale yote ndio ukweli ulio sahihi, akili zetu hazina uwezo wa kuchanganua kitu tena na kufikiria mambo tafauti,macho na hisia zetu zinaona ukweli ulivyo lakini hatuziamini,tumebakia kuijenga dunia ndani ya akili zetu kutokana mafunzo tulopewa utotoni na hivyo ndio tunavyoishi.

ukweli ulivyo ni jinsi ya mambo tunavyo yaona kwa macho yetu,
-tunaona jua na mwezi na vimo ndani ya ukanda wa buluu wa mawingu na havijapishana kwa umbali wala size hivi ndi ilivyo lakini tumefunzwa tusiamini macho yetu

-tazama kiini macho hiki ati wanasema ukubwa wa jua ni mara 400 zaidi ya mwezi na vile vile jua liko mbali zaidi ya mwezi mara 400,jaribu kukitegua hiki kitendawili,, hapa wameweka mahesabu ya ku-justify kwanini mwezi na jua vinaonekana sawa sawa tunapovitazama angani,kwa hio kimoja wamekiwekea viwango vya ukubwa na umbali sawa sawa kwa maana hio ndio mana tunaviona tunaviona vipo sawa

-tunaziona ndege zinaruka na kutua uwanjani hazipati shida ya kuwa ardhi ya uwanja inazungukwa kwa rotation ya dunia,kama dunia inazunguka ndege kutua airport ingekuwa mtihani mkubwa manake uwanja ungekuwa in motion

-nyota tunazoziona angani ndio zile zile kila siku kila mwezi kila mwaka wakati solar system ina mzunguko around milkyway galaxy unamaliza kwa miaka milioni 320 (MILIONI 320 MIAKA) kwa speed ya 828,000 km/hr iweje tuone nyota zile zile na hayo masafa,speed tunayokwenda ni kubwa sana masafa ni makubwa ya ajabu sana lakini bado tupo katika maeneo yale yale maisha na kwa siku tunakwenda masafa ya 52milion km kwa siku moja

-miili yetu na hisia ni sensitive sana ku-detect motion hata iwe ndogo sana lakini tumefunzwa tusiamini hisia zetu,cha ajabu ni kuwa likitokea tetemeko la ardhi hatushangai wala hatukosei tukasema labda sio tetemeko ni dunia inasimama au inapunguza mwendo,tunajua moja kwa moja kuwa ni tetemeko la ardhi tu kwasababu ndani ya nyoyo zetu tunajua kuwa dunia haizunguki kwa hio mtikishiko wowote ni tetemeko la ardhi tu sio chengine chochote
 
tunaziona ndege zinaruka na kutua uwanjani hazipati shida ya kuwa ardhi ya uwanja inazungukwa kwa rotation ya dunia,kama dunia inazunguka ndege kutua airport ingekuwa mtihani mkubwa manake uwanja ungekuwa in motion
Hivi umeshawahi kumuangalia nzi kwenye basi linalo clock 120kph?anapata tabu kutua au kuruka please zenjibari.
 
Leo usiku panapo majaaliwa nitazima taa zote halafu nitalala uwani nitaangalia juu,nione je ni sisi duniani ndio tunaozungushwa au ni nyota ndio zinazotuzunguruka,halafu mrejesho wangu utakuwa ni kwenda zenjibar kupata tawheed japo nnayo.

sawa sawa mkuu jaribu kufanya hivo,pia kama una themometer ya kupima mwangaza wa mwezi ili uone kuwa mwangaza wa mwezi ni baridi kuliko kivuli chake pasipo na mwangaza. kama utapima utakuta kwenye direct moon light tempature itashuka na kwenye kivuli cha mwezi temprature itapanda
hiki kipimo cha mwangaza wa mwezi kinatuonesha kuwa mwezi haupati mwangaza kutoka kwenye jua,kwa maana ya reflection ya mwangaza wa jua ungekuwa warm kuliko kuwa baridi
inavyoonesha ni kuwa mwezi una mwangaza wake na kazi yake na jua lina mwangaza wake na kazi yake
 
Mkuu hii elim, ni mpya kabisa, na ukikutana na mtu haja komaa unampata..
 
Mkuu hii elim inahitaji uchunguzi, maana ukiichukua kama ilivyo unaweza kujikita umeacha ukwel..
 
Hahahaa kwa hyo kama elimu yetu ya uongo hzo simu na computer zinazotengenezwa zinatokana na elimu gani mkuu?
 
Unaonekana kama mtu anaeufunika ukweli huku akijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ