Kitambue chombo VOYAGER 1

mkuu sema unashangaza sana unapopinga vitu dhahiri ambavyo tumesoma .
Kuna vitu ni facts hamna hata haja ya mjadala.Na kama unataka uvipinge inabidi uje na research nzito ya kutuaminisha sio tu speculations
 
The earth is a sphere.
That is a fact usiamini hizi speculations
Hamna haja hata ya sayansi wanamichezo tyu wa skydiving angalia wanapoenda high distance angani utaona how the earth is a sphere
 
Mkuu ongea kisayansi zaidi.
Don't speculate ujue wana JF wengi humu wamesoma
 
Hiyo picha haioneshi operation ya jua
Kwa picha yako inamaanisha dunia IPO stationary na jua ndo linazunguka au?
 
Ndugu yangu naona una lack knowledge ya jinsi gravity inavyofanya kazi
Inabidi siku niandae thread ya kutoa maelezo ya gravity naona inakuchanganya sana mkuu mambo hayapo ivo unavyofikiria aisee sifahamu elimu yako kuhusu space and astronomy kwa ujumla but I bet hujasomea hivi vitu zaidi utakuwa umesoma article mbalimbali kwenye internet za watu wanaopinga real science kupata attention kwa jamii au kutafuta kiki au kupata readers wengi kwenye website zao hizo ni technique ambazo watu ambao sio intellect wanatumia kupata fame tyu but nakuhakikishia hizo ni just speculation
Kama MTU umesoma astronomy utaona tyu wanafanya utoto
 
Pole mkuu kuna satellite phones
 
nafikiri hapa ndipo tumechengana polonium ni zalisho la uranium ambapo hiyo plutonium ndio hutumika kwenye hizo probe hicho kifaa ndo kinachange hiyo heat inayozalisha na plutonium kuwa umeme
Sio kweli, thermoelectric generator haibadili heat kuwa umeme Bali inazalisha umeme kutokana na temperature differences kati ya end point moja na nyingine, kitendo cha kuwepo cha kuwepo utofauti wa heat kunasababisha kutokea kwa electric field.
 
Bora tu hata tutawaliwe, hicho kiumbe kitakachokuwa na akili na teknolojia kubwa kushinda binadamu wa dunia hii kitakuwa hatari sana na waweza kutusaidia mengi.
Swali langu ni kuwa, hivyo viumbe vinategemewa vipatikane kwenye deep space au kwenye moja ya sayari kwenye nyota gani?
 
ha ha! mkuu kwanini unaona vyema dunia itawaliwe..?

swala la viumbe kuwepo tofauti na duniani bado ni nadharia,kuhusu kupatikana wapi ni kokote tu kwani kinachotakiwa ni kupata uhakika kama kweli vipo haijalishi iwe wapi kama watakuwa na akili/ufahamu wataweza kung'amua kilicho kwenye hicho chombo na kufuatilia kama kilivyochorwa hiyo ramani yake kikielekeza tulipo.
ama naweza sema jambo hili wanabahatisha tu!
 
kuna uk


kuna ukweli na uongo sometimes toka kwa hawa wagunduzi...kuna mengi sana wameficha ili project ziendelee...ukimwi hauna dawa lkn ebola inadawa baada ya kuua ndugu zao...something behind a scene is there....sipongani nao bali wakiona kuna interest ya taifa hua hawatoi taarifa zote km walivyogundua.
 
Sijui Imani yako but naona umesema uumbaji wa Mungu so unaamini kuna Mungu.
Then kamsome Joshua jinsi alivyosimamisha jua ndio utajua kipi kinazunguka kati ya jua/mwezi na hii dunia...
Kama una slight knowledge of the universe basi unatakiwa kujua every thing in it moves away kwa rate ya Hubble constant
 
Aaaaha.,. *****,..we mjinga umenichekesha,.. Hahaha,..Khaah!!!

 
Tufahamishe kuhusu dunia na umbo lake
 
ni kweli na hayo mengi yapo kwenye bongo zetu

ha ha! ndio maana majamaa yametutangulia sana tu wkt sisi tunahangaika na njaa,vita,ukeketaji,umaskini n.k wenyewe wanawaza mbali mno they will continue to be number one!
Let them be number one cause we learn everything from them
 
Ninachokiona hapa ni baadhi ya watu kujaribu kumpinga ZENJIBARIA kwa kejeli na matusi bila kuhoji kwa umakini...

Binafsi naona ana hoja fulani zenye kuhitaji mjadala badala ya kumkejeli...

Tatizo kubwa la watu wengi hasa Afrika tunaamini kila kitu kutoka kwa wazungu na hii ni kwakuwa tulichelewa kuwa wavumbuzi nadhan siyo kosa letu...

Hata kama sayansi imetukaririsha mambo mengi bado siyo kosa kufikiri tofauti na kujaribu kuhoji mambo tunayofundishwa darasani...

Uvivu wetu wakuhoji ndiyo unagufanya tushindwe kuwa wavumbuzi badala yake tunasubiri kuambia kipi ni sawa na kipi si sawa....

Curiosity huwa na faida zake sometimes.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ