Kitambue chombo VOYAGER 1

Kitambue chombo VOYAGER 1

ha ha! ndio maana majamaa yametutangulia sana tu wkt sisi tunahangaika na njaa,vita,ukeketaji,umaskini n.k wenyewe wanawaza mbali mno they will continue to be number one!

Kuna mambo huwa yanafanywa humu Africa, na watu tena wengine wasomi kwa elimu hii waliotuletea wazungu, unakaa unafikiria na kudhani kuwa sisi pengine hatukustahili kuwepo. Maana ukifikiria jinsi wenzetu wanavyohangaikia ugunduzi, na wkt huohuo sisi tunahangaikia mambo kadhaa yasiyo na tija kabisa, unaumia sana. Najaribu ku imagine kama tungeweza kufanya walau robo tu ya wanachofanya, sijui tungekuwa wap
 
Kifaa hiki kinatumia madini ya uranium kujizalishia umeme ili kiweze kujiendesha na itakapofika mwaka 2020 madini hayo yanatarajiwa kuisha hivyo kitastop na itakuwa ndo mwisho wake wa kufanya kazi!
Madini ya uranium yanazalisha vp umeme kwenye hiko chombo?
 
hakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
HAIL TO FLAT EARTH SOCIETY
 
Una
kuna mambo mengi sana ya kuangalia ambayo yatakuonesha kuwa elimu yote ya space na uhalisi wa dunia ilivyo ni uongo

- wanasema dunia ipo duara kama chungwa lakini ndege zikiruka hazizunguki chungwa zinafika angani zinaweka cruising speed na zinakwenda straight hazilazi pua chini au juu kulizunguka chungwa ambayo ndio shepu ya dunia
-wanasema dunia ni shape ya chungwa kwa hio kila pahala patakuwa na mpindo ili kupara shepu ya chungwa kwa maana hio ukiwa dar zanzibar huwezi kuiona popote kwa maana itakuwa upande wa pili wa mpindo wa dunia na hii zipo formula zake ambayo kwa masafa ya dar to znz ni kama 44km mpindo wa maji ulikuwa uwe kama ulikuwa uwe atleast 60m
-pia hivi majuzi wamesema wanajiandaa ili waweze kutoka kwenye low-earth orbit na waweze kupeleka watu outer sapce wakati mwanzo wamesema washapeleka watu kwenye mwezi ambayo upo beyond low earth orbit.

-sifa moja kuu ya maji popote yalipo ni lazima yawe level,maji hayawezi kupinda kufanya duara,kwa hio hilo duara la dunia maji yanapinda vipi kuweka shepu ya duara,maji ni lazima yatafute level kwa namna yeyote ile,

gravity ni uzushi ,kama gravity ndio inayozuia vitu hapa duniani iweje ndege iliyo ndogo na nyepesi iweze kuishinda gravity na iruke wakati bahari iliyo kubwa sana nzito kuliko kitu chochote hapa duniani isiweze kuishinda gravity'
au kwanini gravity iruhusu mabofu yende ngani wakati vitu vizito zaidi vipeshikwa na gravity


ki uhalisia hakuna aliyewahi kufika mwezini na mwezi haupo na ardhi kama ilivyo hapa duniani,sayari zote picha tunazoziona online sio halisi ni michoro tu, picha halisi hazipo clear kama wanavyoonesha hio michoro

mambo ni mengi sana ntarudia tena mengine
Unajua mkuu ukijaribu kiwaeleza wa2 kuwa dunia ni flat na consept nyengine za flat earth sorciety hawatakuelewa tena na elimu yetu hii ya bongo utapingwa 2 binafsi mm nkubaliana na ww 100% na ni mfuatiliaji mkubwa wa flat earth
 
ni kweli upeo wa macho yetu kwa wingi tunaweza kuona radius ya 5 mile kwa hio si rahisi ku-notice curve na ile kusema unaona boti na mlingoti inapotea machoni ile sio curvature ni uwezo wa kuona kwako unamalizika tu na sio kama boti inazamia kwenye mpindo wa dunia,
lakini kupima curvature kuna formula yake ya ambayo ni Pythagorean theory hii inasema hivi kuwa kila 1x8in.sq mile
kwa mfano:
2 mile distance
2x2x8= 32
32/12=2.66ft
huu ni mfano wa 2 mile ambao kwa fumula yao kila 2 mile kunakuwa na 2.66ft ya curvature na hio inazidi kila masafa yakizidi 4miles inakuwa na 5.32ft and so on
saivi kuna binoculars au telescope za kuona masafa ya mbali sana watu wanaona mpaka 200 miles away kama bahari ipo shwari na maeneo yaliyo juu kidogo,jambo ambalo kama dunia ni duara huwezi kuona kutokana na mpindo wa dunia
Huu ulishawahi kuwa uzi ila sidhani kama kuna waliousoma na hata kama wamwusoma
van allen belt ni ukanda wa magnetic field ambao upo juu umeizunguka dunia kwa maelezo yao, inaitwa belt kwa sifa hio ya ukanda uliozunguka dunia,

na kuhusu tafautiana time ya sehemu moja na nyengine hii ni subject yake peke yake ili uweze kuifahamu, cha kwanza kuelewa ni time ni nini hasa,whats is time exactly? time inasababishwa na nini,

kwa mitazamo yetu ya haraka tunapima time kwa kutumia jua linapochomoza na kutua na vile vile kisasa tunatumia saa
lakini jua linazama vipi na linachomoza vipi wakati dunia sio duara,wakati ikiwa hatulioni unapokuja usiku jua linakwenda wapi,hii kwanza tufahamu kuzama na kuchomoza kwa jua katika kila eneo,manake kila eneo lina time zake za kuzama na kuchomoza kwa jua.
kujua jua linachomoza vipi pasipokuwa na duara la dunia ni lazima ufahamu law of perspective, uwezo wetu wa kuona yaani vipi macho yetu yanaona
itazame hii picha ya chini hapo ichukulie wewe umesimama hapo mwanzo wa picha kisha unaangalia mwisho wa hii koridoo
kama utachunguza utaona sakafu inapanda na dari inashuka na kuta za pembeni zinajikunja kuja katu kadri ya koridoo inavozidi,mwisho wa koridoo hii kunakuwa kudogo sana yaani kumejikunja na hapa mwanzo pako kama kawaida,ki uhalisia hii koridoo iko sawa kuanzia mwanzo hapa mpaka mwsho kule yote ipo sawa lakini macho yetu ndio yanaona namna hii mwisho wa upeo wako kunakua kudogo mpaka kunatoweka kabisa

ichukulie hizo taa za juu hapo kama ndio jua linasafiri angani kwa namna unavyoliona wewe na macho yako,jua litakwenda mpaka mwisho wa upeo wako kwa hapa litazame linavyoshuka kuifata koridoo jua litaonekana kama linazama lakini kiuhalisia halizami ila linatoweka kwenye upeo wa macho yako tu kama huo mfano wa taa na hii koridoo,hivi ndio tunavyoona jua linazama au kuchomoza na tukazani linakwenda chini ya duara la dunia lakini uhalisi ni kuwa linazunguka juu ya uso wa dunia na sio kwenda chini
View attachment 462172
mzunguko huu wa jua juu ya uso wa dunia ndio unaosababisha time za kila maeneo kuwa tafauti baina ya maeneo kwa vile linapotoweka kwenye eneo letu tunapata magharibi na usiku kuingia na jua linaanza kuonekana kwenye maeneo mengine na hapo ndio wanapata alfajiri yao na mchana kenedelea kwa muangaza wa jua
GOOD FACT INDEED NIMEGAIN KI2 KINGINE
 
ha ha! et kila kitu kinachohusu space sio kweli!😱
hata hayo unayonambia basi sio kweli na ningumu kukuamini maana huna vithibitisho,kila kitu kinachohusu space sio kweli ulishawahi toka nje ya dunia ukathibitisha hilo..?
kwahiyo hata nyota tunaona maruerue tu mwezi nao maruerue tu,naona tumepagawa na kupata ugonjwa wa macho dunia nzima!
Inavyoonekana hautaki kuelewa ila kubisha
 
hakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
We jamaa unaakili sana mm nimekuelewa vilivyo. Ata mm huwa nafikili hivyo hivyo, unakuta mtu anakudanganya kweupe kabisa ety mtu alifika mwezini uongo mtupu.
 
Madini ya uranium yanazalisha vp umeme kwenye hiko chombo?
mkuu uranium inatoa heat/joto and then wanachange hilo joto ktk mfumo wa umeme ni kama solar.. ila kwenye hicho chombo voyager 1 sijui kuna process ipi lkn nafikiri ni kama hii
 
nimefikia viwango vizuri vya shule na madrassa pia ila fanya utafiti kidogo utajinea mwenyewe

kama unakwenda shule uliza maswali haya
proof of gravity
proof of earth spinning(usiku na mchana sio proof) ulizia kama kuna aina ya kipimo kilowahi kuthibitisha spin
proof sun is 93mil miles
ni wapi imewahi kutokea maji yakawa na mpindo(yaani ukitia maji kama kwenye glass yakawa na uvimbe wa juu kuonesha mpindo

maswali yapo mengi ulizia hayo tu kwanza
Unaijua international space station?
 
mkuu uranium inatoa heat/joto and then wanachange hilo joto ktk mfumo wa umeme ni kama solar.. ila kwenye hicho chombo voyager 1 sijui kuna process ipi lkn nafikiri ni kama hii
Hii ni ngumu kumeza unafanya kama solar?
 
Hii ni ngumu kumeza unafanya kama solar?
nasema inaprocess kama solar i mean solar ina change heat kuform umeme so wanatumia uranium kuproduce heat and then ina be changed kuwa umeme..
uranium kipande kidogo tu kinauwezo mkubwa wa kuzalisha/kuwaka bila kuisha kwa muda mrefu kama sikosei one ton of uranium inazalisha 40 million watt ya umeme
 
japo mada ilihusu VOYAGER 1, imenilazimu nami nifuate upepo unakoelekea, duara ama tambalale!! sio mtaalam sana kwenye hizi anga ila nataka kuuliza, je? mtu anaweza kuizunguka dunia kutoka Magharibi ama Mashariki na kujikuta yupo pale alipoanzia safari? iwe kwa njia ya anga. kama sivyo, iliwezekana vipi Japan kushambulia Pearl harbor kwa kuvuka bahari ya Pacific? maana wengi hudai njia zote za anga unarudi Mashariki tu. umbali kutoka Japan hadi Hawaii (USA) tunaambiwa ni 6,625km, kwa ndege inayokimbia mile 560 kwa saa hutumia muda wa saa 7:35.
kama siyo duara inawezekana vipi mtu wa Urusi kuingia Alaska (USA) kwa kuvuka bearing strait amnayo ni 85km, ama kama wako eneo la visiwa vya big & small domede umbali kutoka Alaska kwenda Rusia ni 2km. ukisoma historia, tunaambiwa kipindi cha vita baridi, baadhi ya mashirika ya ndege yalikua yanavuka bahari ya Pacific na kuibukia Alaska, hii ilikuwa ni kwa ajiri ya kukwepa anga ya USSR.
Pia kuna rubani wa kisovieti (Valery Chkalov) ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kuvuka maji ya Pacific kutoka Moscow. alitua Vancouver kisha Washington D.C. kwa mujibu wa maelezo ilikuwa June 18~20, 1937 na alitumia saa 63.
siyo huyo tu wapo watu kadha wa kadha wanaodaiwa kuvuka bahari ya pacific akiwemo Barney M. Giles, Curtis LeMay & Emmett O'Donnell, Jr. (September 1945)
kama ndivyo basi dunia ni duara, ila bado kuna fumbo kubwa lijulikanalo na wachache.
 
nasema inaprocess kama solar i mean solar ina change heat kuform umeme so wanatumia uranium kuproduce heat and then ina be changed kuwa umeme..
uranium kipande kidogo tu kinauwezo mkubwa wa kuzalisha/kuwaka bila kuisha kwa muda mrefu kama sikosei one ton of uranium inazalisha 40 million watt ya umeme
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia panapotokea heat kunazalishwa magnetic field?
 
najua kama Thermoelectric generator - Wikipedia ndio hutumika pindi hizo probe zinapokuwa mbali na mwanga wa jua lakini namna ambavyo uranium inavyotumika kuzalisha umeme siyo kwa namna ambayo umelezea wewe na si rahisi kutumika kwenye hizo space probe.
nafikiri hapa ndipo tumechengana polonium ni zalisho la uranium ambapo hiyo plutonium ndio hutumika kwenye hizo probe hicho kifaa ndo kinachange hiyo heat inayozalisha na plutonium kuwa umeme
 
nafikiri hapa ndipo tumechengana polonium ni zalisho la uranium ambapo hiyo plutonium ndio hutumika kwenye hizo probe hicho kifaa ndo kinachange hiyo heat inayozalisha na plutonium kuwa umeme
Ok nilitaraji uniambie namna hii na futa idea kwamba hiko chombo kinafanya kazi kama solar mechanism inayotumika hapo ni seebeck effects.
 
Back
Top Bottom