Wews hautumii hisia bali unatoa ambayo flat earth society wanaamini... ndio maana mfano wako wa corridor ndio ule ule wa yule jamaa aliyekuwa anafanyiwa interview, simkumbuki jina... anadai kwamba jua liko mile 3000... hahahahaha, mile elfu 3000... tungeweza kuhimili ukali wa jua??? Ninachojiuliza amederive vipi kupata hiyo 3000??nimemaliza elimu ya dini na elimu ya dunia nnayo ya juu kidogo, jaribu kuzipitia post nlozojibu kwenye huu uzi unaweza kufahamu baadhi ya mambo nnavyoyaona mimi
na sio kama napinga ila natoa mitazamo na maswali kutokana na hisia zetu tu
Amka usingizinihakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
The golden record
hiki ni ki plate maalum ambacho kipo kwenye voyager ndio kina taarifa juu ya uwepo wetu means kina show direction ya wapi sisi tupo,nini kinafanyika duniani na kina sauti mbalimbali za wanyama,upepo n.k pia kina picha na maelekezo ya namna ya kuplay hizo sauti na salamu za lugha zipatazo 55 za zamani na sasa ktk maeneo tofauti tofauti.
ukitaka kujua mengi google utajua kuhusu kifaa hicho hapa me nimedodosadodosa tu.
umenifanya nicheke sananaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pale unapomwambia ustadhi peleka mtoto shule badala ya madrasaa
Mkuu baada ya chombo hiki kuzima 2020 nini kitafatia, kuanguka, kuganda eneo moja au kitaelea maeneo mbalimbali? Pia hadi muda husika 2020 kitakuwa eneo gani?
Ni chombo cha kisayansi kilichorushwa na shirika la maswala ya anga NASA mwaka 1977,kusudi la kurushwa chombo hiki ni kwaajili ya kupeleleza anga ndani na nje ya mfumo wetu wa jua.
Voyager 1 mpaka sasa kiko umbali wa kilometa billion 18.35 kutoka duniani,mwaka 2012 chombo hicho kilipita mzingo wa pluto ambapo ndo kunaaminika ndio mwisho wa mfumo wa solar system yetu,kwamaana hiyo kipo nje ya mfumo wa jua letu!
Pia mwanga wa jua unahitaji zaidi ya masaa 17 kufikia chombo hicho ambapo umbali toka jua mpaka ilipo voyager ni km billion 19 na kitu.
Kifaa hiki kinatumia madini ya uranium kujizalishia umeme ili kiweze kujiendesha na itakapofika mwaka 2020 madini hayo yanatarajiwa kuisha hivyo kitastop na itakuwa ndo mwisho wake wa kufanya kazi!
Lakini pia kifaa hicho kimeekewa DNA za binadamu endapo ikitokea viumbe wengine kukipata wanaweza gundua kuwa kuna viumbe wengine mahala fulani.
hiyo ndo voyager 1 unaweza ongezea
Na kama kuna viumbe wengine huko wao warejeshe taarifa zao pia kwa kheri maana wakituchenchia patakua hapatoshi tunaweza kuwa vitoweo.Du, hatari! Wakati wengine wanafikiria 'kuvitaarifu viumbe wengine' kuwa kuna binadamu sisi tunaamini kwa dhati kabisa kuwa akina Lijuakali, Mathew. Lema nk ndio tatizo na lazima washike adabu!
kitakapozima kwa kuwa kipo kwenye motion kitaendelea hivyohivyo labda kigongwe na kitu ndo kinaweza kustop au kuchange motion..means that kitakuwa kinaelea tu,kuhusu kuanguka eg kuja duniani hiyo mmmmh! itakuwa mshikemshike kipo mbali mno hata kimeshatoka kwenye mfumo wa jua letu lkn endapo kikapita karibu na kitu chenye nguvu ya uvutano kitavutwa na kudondokea kwenye hicho kitu..Mkuu baada ya chombo hiki kuzima 2020 nini kitafatia, kuanguka, kuganda eneo moja au kitaelea maeneo mbalimbali? Pia hadi muda husika 2020 kitakuwa eneo gani?
Mkuu naomba unielezee kuhusu hyo dwarf planet ya Pluto na sababu za kuiondoa katika planets...!!!Hicho chombo hakiwezi kuangukia dunia kabisa kumbuka kimeshatoka kabisa katika solar yetu yenye sayari 8 au 9 ukiweka dwarf planet Pluto, Hicho kinatuvutwa katika Object nyingine na incase kime maintain speed kita orbit, Hio energy inayodaiwa kuwa itaisha 2025 ni Power kwa ajili ya kurun transponders Zinazowasiliana na Deep Space Network (DSN) Chombo still kitakuwa active
ha ha! mkuu kadri unavyozidi kusogelea kitu ndivyo umbo lake linavyozidi kupotea kimuonekano lkn inategemea na size.. mawingu yanafuatisha umbo la dunia kama ni flat mean yangeonekana ki flat(hapa nasemea yakiwa yamesambaa kote) lkn ukisimama ukayaangalia kuanzia utosini mwako mpaka upande mwengine utaona mshuko wa kiduara jaribu kufatilia utaona mkuu."KENZY, post: 19473648, member: 345804"]ha ha! mkuu wewe umemuelewa..?
kama upo kwenye dunia flat kwanini mawingu yaonekane yanaumbo la kiduara..?
alisema kwamba kila kitu kuhusu space is wrong! ha ha ha hata nyota huenda tunaona maruerue tu kama ndo hiQUOTE]
Mawingu gani hayo yanayoonekana ya duara. Kama haujawahi panda ndege sawa ila mawingu yapo katika hali ya utambarare uliza marubani
Hakuna hiyo sura mkuu ,utakuwa umekosea kuinukuu jina au itaje ni sura ya ngapi halafu nikutajie jina lake kwa ufasaha.Pulsar - Wikipedia
Kwenye qur,aan tukufu kuna sura nzima inayoziongelea nyota hizi zenye kugonga gonga pulsars.suratul a dhaariq.
PULSARS | Quran MiraclesHakuna hiyo sura mkuu ,utakuwa umekosea kuinukuu jina au itaje ni sura ya ngapi halafu nikutajie jina lake kwa ufasaha.
Ngoja nikuulize tu japo huwenda maswali yakawa ya kipuuzi.Imani za kale zilikuwa ni kwamba dunia ni tambarare, lakini na huo mtazamo uliwatisha wanadamu na mabaharia pia, kuwa wakienda mwisho wa dunia wataangukia kwenye maporomoko makubwa ya maji,na hawataonekana tena, na kwamba dunia imeshikwa na mapembe ya ng'ombe mkubwa sana.
Mkuu mwezi una ardhi sema hauna atmosphere unaweza ukatua bila wasiwasi ila utatajikuta upo katika jangwa la lenye mchanga mweupe.Mkuu ikiwa katika mwezi hakuna ardhi ya kuweza kutua kama hapa duniani, je mwezi upo katika hali ipi?
Ndege hiyo itarudi hapahapa.Mfano- Ndege ikiruka kutoka hapa tanzania na kuelekea uelekeo mmoja bila kupinda kona mwisho wake utakua ni upi?
Garavity iendana na mass katika dunia yetu hii ipo katika hali moja ila viumbe vya baharini vinapata madhara kidogo kutokana gravitation pull ya mwezi wetu.Ngoja nikuulize tu japo huwenda maswali yakawa ya kipuuzi.
Mfano- Ndege ikiruka kutoka hapa tanzania na kuelekea uelekeo mmoja bila kupinda kona mwisho wake utakua ni upi?
Dunia inazunguka bila viumbe kupata madhara sababu ya gravity, hii gravity ina vipimo vyake maalum kujua kama inaongezeka, inapungua au ipo katika hali moja?
ha ha! hili jambo linamchecheto hasa kama wapo bora wawe maboya ili tuwashinde lkn kama wakiwa wako vizuri kisayansi wakiweza kudestruct nguvu ya uvutano kati ya jua na dunia hilo litakuwa pigo kubwa maana dunia itakosa muelekeo hapo ndo hekaheka,wkt sisi tunawaza kupigania siraha ila yenyewe hivyo tu ndo yamemaliza! ha ha ha utajuta kuzaliwa๐ฑNa kama kuna viumbe wengine huko wao warejeshe taarifa zao pia kwa kheri maana wakituchenchia patakua hapatoshi tunaweza kuwa vitoweo.