Kitambo tukiwa wadogo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : sumaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we sumaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: sumaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
 
Back
Top Bottom