kwani kinakusumbua nini hadi utake kukitoa?
mimi ninacho na hakinisumbui,na wala wife halalmiki
Wewe unaamini lipi kati ya hayo hapo juu? Manake ushauri wetu si lolote kama unaamini kuwa kitambi ni deal hapa bongoHabari zenu G.T!
ninasumbuliwa na kitambi, nimejaribu kuulizia namna ya kukitoa, kuna watu wameniambia kuwa kitambi bongo ni dili, kinaleta heshima, na pia kitambi ni dhamana, popote unapoenda unaaminiwa.ama kweli bongo noma. Sasa tukiachana na issue hizo. kuna yoyote hapa jf anaweza kunielimisha njia nzuri ya kutoa kitambi!!
umecheki minyoo?
Ni nani huyo?Mustapha Hasanali ndo anapaswa aulizwe kwani alikuwa na vitambi vitano,cha kwanza juu karibu na KIFUA,cha pili karibu na KITOVU,cha tatu chini ya MKANDA,cha nne Pembeni mwa TUMBO,cha tano nyuma ya MGONGO!!! Ila kwa sasa hana hata kimoja... Nadhani nimekujibu maswali yako!
Habari zenu G.T!